mwarabu ndiye atakula asali ya mtuUto leo wanaliwa asali ni suala la muda tu
Msijisahaulishe, mpaka sasa hivi aggregate ni 3-2 Tabora akiongoza.
chwaaa moja moja 🤣Makambo anarudi kambani chwaaa moja moja
Nunua TV mkuuu acha kuangalia mechi kweny vichochoroMpaka magoli ya offside🤣🤣
Mzani ushakuwa sawa ndugu. 3-3Msijisahaulishe, mpaka sasa hivi aggregate ni 3-2 Tabora akiongoza.
Kombe ninkombe ata la mbhzi ni kombe lichukue alafu ndio useme hili la mbuziUnataka niseme tu upate kuchukia Mtani. 😅😅
Kwani kombe la looser nalo ni la wakubwa eti?
endelea kuhesabu imefika ngapiMsijisahaulishe, mpaka sasa hivi aggregate ni 3-2 Tabora akiongoza.
Azam wamestopisha wakati mpira unapigwa kwenda kwa Mzize na picha ya marejeo yameonesha yuko onsideMpaka magoli ya offside[emoji1787][emoji1787]
Unatumia radio ya mchina?Mpaka magoli ya offside🤣🤣
Ngapi ngapi wakuu?Gooooooooooooaaaaaal!