Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

Nina furaha sana leo, make timu ya CCM Ingeshinda hivi sasa kungekuwa na Jam ya Press confrance za kumsifia Kizimkazi.

Safi sana Congo kwa kuwapiga timu ya CCM, Kizimkazi angepata milestone sana leo.

Yaani hao wakina Msigwa walikuwa walisha andaa na hotuba kabisa za kusifu na kuabudu. Kapteni Samata alikuwa na hotuba ya mumsifia Kizimkazi endapi wangeishinda Congo.

Safi sana na ombi langu ni hata huko Moroco tusiende kabisa make itakuwa ni full siasa za ki CCM.

Ombi langu la mwisho ni hao Simba na Yanga wasifike kokote kule make na wao ni wanatumika na kizimkazi tu.
 
Yaani ji inchi hili linavyoboa kwenye mpira, wacha tu tuangalie epl tu ila hapa hapana aisee, yaani roho inavyouma kufungwa na hawa jamaa nyumbani, halafu walivyotudharau aiseeee hapana aisee hapana kabisa
Shida sisi tuna wadharau. Tumetoka nao sare afcon kule, wakatunga moja kwao tukajiona tunaweza pishana nao. Hii game ilihitaji plan hata ya sare tu. Ona sasa kilicho tukuta
 
🤔
 

Attachments

  • Screenshot_20241015-204119.jpg
    264.9 KB · Views: 4
Ethiopia na guinea tunaombea timu gani ishinde.?
 
Hivi uSengerema na uKunduChi ..... Upi afwadhali.... Hii timu hii....
 
We si uliona AFCON iliyopolita mara kina mwijaku, babalevo,sijui Nyerere ambaye familia imemkataa.... Machawa kibaoooo eti timu ya hamasa wakaenda nao ivory coast wakati wachezaji wa zamani wapo na waliostaafu karibuni wapo ..... Nilifurahi sana tulivyotolewa mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…