OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hate government not country.Nimeumia sana Tanzania kushinda na kufuzu, nimeumia mno. I hate this country from the deepest part of my heart.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hate government not country.Nimeumia sana Tanzania kushinda na kufuzu, nimeumia mno. I hate this country from the deepest part of my heart.
Batoto ba Mungu banaenda AFCON
Yaani hapa tunataka kesho iwe public holiday tuenjoy blvizuri mbususuWasuseee hadi asubuhi
unakila sababu yakuitwa mchawiBado nipo tofauti na Taifa Stars hata hatua zitakazofuata,bado sijachoka
TusameheniTurudi kwenye nyuzi za kuiponda stars ifungwe tukawape za uso walioitakia mabaya timu
Hana tofauti na aziz ki, mpira ukiwashinda wanajidai kuelekeza wenzaoSamatta naye anatoa maelekezo kutokea benchi
Bahari ipi mkuu? Guinea hakuna bahariTusema Guinea wako overrated au ni bahati tu .
Ushindi ulianzia hapoMpira umeanza Feisal kautoa nje!! Maelekezo kutoka juu??
We utakua mkenya wewe.Hawajawahi Qualiify tangu mwaka 1957 😅🤣🤣
Hii ndo mara Ya kwanza
Soma vzrBahari ipi mkuu? Guinea hakuna bahari
ni muda wa kuziweka tofauti zako chiniBado nipo tofauti na Taifa Stars hata hatua zitakazofuata,bado sijachoka