Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
FTLeo kuna matumaini kama tutashinda hii game
Tanzania 1 - 0 Guinea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FTLeo kuna matumaini kama tutashinda hii game
Wakutane na Moroccounakila sababu yakuitwa mchawi
Ni uhakika kwamba Tanzania tutacheza Afcon mbili zinazokuja.Bado nipo tofauti na Taifa Stars hata hatua zitakazofuata,bado sijachoka
Hongereni mashabiki wa taifa stars..
Sasa tusubiri shukrani na pongezi kwa raisi, pongezi kwa mama na bla bla nyingine.
Wachezaji wamepambana.
Hapa ndip nakereka.
HUNIZIDI..Hapa ndip nakereka.
Mara ya 3 hii.Hawajawahi Qualiify tangu mwaka 1957 [emoji28][emoji1787][emoji1787]
Hii ndo mara Ya kwanza
.Pongezi hizi za ushindi wa Taifa Stars 1-0 dhidi ya Guinea ni maalumu kwa Rais Dkt.
Pongezi hizi ni maalumu kwa Rais Dkt.Mara ya 3 hii.
Mara ya kwanza ilikuwa 2019
Mara ya pili AFCON iliyopita
Mkuu Henu Nitajie mwaka Taifa Stars Imeahi kuqualify AFCON..We utakua mkenya wewe.
| Africa Cup of Nations record | ||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Appearances: 3 | ||||||||
| Year | Round | Position | Pld | W | D | L | GF | GA |
| Total | Group stage | 4/36 | 9 | 0 | 3 | 6 | 6 | 18 |
| 1957 | Did not enter | |||||||
| 1959 | ||||||||
| 1962 | ||||||||
| 1963 | ||||||||
| 1965 | ||||||||
| 1968 | Withdrew during qualifying | |||||||
| 1970 | Did not qualify | |||||||
| 1972 | ||||||||
| 1974 | ||||||||
| Group stage | 7th | 3 | 0 | 1 | 2 | 3 | 6 | |
| Withdrew | ||||||||
| Did not qualify | ||||||||
| Withdrew during qualifying | ||||||||
| Did not qualify | ||||||||
| Withdrew during qualifying | ||||||||
| Did not qualify | ||||||||
| 1998 | ||||||||
| 2000 | ||||||||
| Withdrew during qualifying | ||||||||
| Did not qualify | ||||||||
| 2008 | ||||||||
| 2010 | ||||||||
| 2012 | ||||||||
| 2013 | ||||||||
| 2015 | ||||||||
| 2017 | ||||||||
| 2019 | Group stage | 24th | 3 | 0 | 0 | 3 | 2 | 8 |
| 2021 | Did not qualify | |||||||
| 2023 | Group stage | 22nd | 3 | 0 | 2 | 1 | 1 | 4 |
| Qualified after Beating Guinea | ||||||||
| Qualified as co-hosts |
Pongezi hizi za ushindi wa Taifa Stars 1-0 ni maalumu kwa Rais Dkt.Haya ni muda wa machawa kutamba sasa
Inashangaza jinsi watanzania wasivyojua mambo madogo kama haya....Mara ya 3 hii.
Mara ya kwanza ilikuwa 2019
Mara ya pili AFCON iliyopita
Upo sahihi mkuu na Pongezi hizi ni maalumu kwa Rais Dkt.Mkuu Henu Nitajie mwaka Taifa Stars Imeahi kuqualify AFCON..
Hebu tusiwe Wanafki muda wote tuambizane ukweli hata kama Unauma..
Africa Cup of Nations record Appearances: 3 Year Round Position Pld W D L GF GA Total Group stage 4/36 9 0 3 6 6 18 1957 Did not enter 1959 1962 1963 1965 1968 Withdrew during qualifying 1970 Did not qualify 1972 1974 1976
1978
1980
Group stage 7th 3 0 1 2 3 6 1982
Withdrew 1984
Did not qualify 1986
Withdrew during qualifying 1988
Did not qualify 1990
1992
1994
Withdrew during qualifying 1996
Did not qualify 1998 2000 2002
2004
Withdrew during qualifying 2006
Did not qualify 2008 2010 2012 2013 2015 2017 2019 Group stage 24th 3 0 0 3 2 8 2021 Did not qualify 2023 Group stage 22nd 3 0 2 1 1 4 2025
Qualified after Beating Guinea ![]()
![]()
2027
Qualified as co-hosts
Wamequalify mara 3 1980, 2019 na 2023 na zote walitolewa hatua ya Makundi
Machozi ya furaha 😝Ngoja nikatafute uzi wa Lucas Mwashambwa akibubujikwa na machozi.
Nimeandika kwenye Post ya 514Mara ya 3 hii.
Mara ya kwanza ilikuwa 2019
Mara ya pili AFCON iliyopita