Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

Hao Taifa star hata wakimfunga Guinea a.k.a Engonga magoli 400 bado hawatafika popote.Kiwango cha mpira kwa Tanzania ni kidogo sana ikilinganishwa na majirani zetu hasa nchi za Africa ya kati,kaskazini na maghareb.
 
Guinea jitahidini msifanye makosa ya kufungwa na Stars. Tumeshawaandalieni sherehe hapa Conakry
 
Hii ni mechi ya kufa na kupona stars lazima ashindie hii mechi iwe mvua iwe jua. Kila heri
 
Fala n ww dada mwajuma, kwahy hizo nchi zote zinazoshiriki afcon huwa zinapata hayo uliyoyasema hapo?
 
Juhudi binafsi za wachezaji zinaweza kutuvusha siyo kwa uwezo wa kocha.

Kila la heri Taifa stars, mechi ni ngumu kweli kweli, Guinea siyo watu wazuri.
 
Hii game itaoneshwa kwenye app gani? Au mwenye link ya stream hii game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…