Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

Tunaambiwa hapa kwenye kikao tuiombee Stars. Vipi wakuu mnaonaje huko kandanda
 
Leo ni vita ya magolikipa wa Simba nani ataonekana bora kumshinda mwenzie..hapa wana kazi kubwa ya kupalilia vibarua vya timu zao na za mataifa yao...
 
Niko na 🎒 sativa wa x wacha tupigwe tu timu ya serekali hii
 
Ila mm nawaonea huruma wachezaji wetu hawana makosa..watieni moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…