Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

ni furaha kwa kweli
HUU USHINDI NI MAHUSUSI KWA MAMA YETU KIPENZI JUHUDI ZAKE KWENYE MICHEZO SASA MATUNDA TUNAYALA
 
Jka Taifa Stars kupenda kutuweka roho juu juu dah. Hii furaha ilitakiwa iwe imeshaptikana mapema tangia tulipokutana na Congo
 
Team guinea kazi tunayo Leo Sasa Dua tunazielekeza wakianza tu watolewe chapu huko afcon
 
Turudi kwenye nyuzi za kuiponda stars ifungwe tukawape za uso walioitakia mabaya timu
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom