FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Aibuuu kwa Kibu eti anajirusha baada ya mkono 🀣
 
Vipi hali ya mvua? Niliona kule "X" wakijiandaa kuingia uwanjani mvua inapiga.
 
Hawa Stella ni kama hawapo mchezoni, yaani wamezubaa
Hauoni ubora wa Simba ila unaona Stelle kutokuwepo uwanjaniπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜πŸ˜„
 
Asante kwa Updates
 
Hivi ili hawa wasauz wapite wanatakiwa wafunge ngap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…