FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Huyu refa hajiamini si wa kupewa mechi kubwa ataishia kuharibu tu game. Hakuna offside lile ni goli halali kabisa. Hizi VAR za afrika zina miujiza! KILA LA KHERI SIMBA!
sasa hajiamini kivipi?
 
Huyu refa hajiamini si wa kupewa mechi kubwa ataishia kuharibu tu game. Hakuna offside lile ni goli halali kabisa. Hizi VAR za afrika zina miujiza! KILA LA KHERI SIMBA!
Unaposema lile ni goli uwe unataja la kwenye mechi gani

Kwasababu watu wanaweza wakadhani unaongea uongo lakini kumbe wewe unamaanisha goli la Vini kwenye mechi ya jana.
 
Nadhani hii comment uliiandika ile moment ya goli.

Nakukumbusha tu kuwa bado tupo on play
Mnabebwa huko sana, kuna mtu kishafanya mambo. Inakuaje imekataliwa? Mungu awasaidie Stellenbosch 😎
 
yule mpumbavu aliyesema simba sc akipita atatembea uchi huko aliko nnya inagonga pichu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…