FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Kocha habadiriki Kikosi kile kile hata away???????

Pale kwenye No 10 away anatakiwa awe anampanga DEBORA.

NIMEMALIZA
 
Ukichanganya na tukio la kukamatwa na kuwekwa ndani kwa Lissu simba inaenda kuongeza machungu kwa wananchi.

Tunazidi kupitia wakati mgumu.
 
Mungu awatangulie ilaa .. mpunguzie kelele
 
wakali wa link tuwekeeni basi wengine tupo sehemu si rafiki ku watch kwenye tv,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…