Full Time: UEFA Champions League Final: PSG 5-0 Inter Milan | Mei 31, 2025 - Allianz Arena Stadium

We unajuwa mpira , PSG ni bora kuliko Inter ila Inter wana kitu cha tofauti ambacho kinakunyima uhakika wa kuifunga Inter
 
Inter Millan Champions 2024/2025
๐Ÿ†
 
Vikosi vya pande zole mbili tayari vimetoka
 
Wakati ukiangali game ya leo unakumbushwa ya kuwa usikose Heineken mkononi mwako kwa wale wazee wa biti virefu na wale watu wa vitu baridi hakikisha hukosi kinywaji cha pepsi mkononi mwako.
 
Team Paris tujuane
 
Wakuu nasubiri game hapa gateway annex pub kijichi, ambae yupo around tunaweza kuonana kwa ajiri ya kusalimiana
 
I adopted a dog 2weeks ago.... Guess what I call her! TOTII. Tribute to Heineken commercial on UEFA championship
 
Your browser is not able to display this video.

Wanetu wa barca hawajui wakae wapi leo
 
Kumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ