Full Time: UEFA Champions League Final: PSG 5-0 Inter Milan | Mei 31, 2025 - Allianz Arena Stadium

Mbappe kapishana na kombe.

PSG wanastahili hili kombe.
 
Kwa kweli, fainali ya hovyo kabisa. Yaani Inter Milan anapigwa 5 bila! Bora ingekuwa Barća vs. PSG
 
Hii sio fainali ni udhalilishaji hela haiongopi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…