Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Waeleze watu Diarra alikuwa anaenda wapi huko?Mechi ni ngumu Kwa Simba
Huo mfumo wake wa kucheza wide kutumia wings na full backs ataacha mianya mikubwa kati atapigika
Simba aje na nidhamu
Wazee wa kugawa njuguSimba, Simba, Simba.
Arajiga, Kayoko na wababaishaji wengine wa Tanzania naamini mnacho cha kujifunza.
Labda ndivyo wameambiwa kamati kuuWatanganyika gani hawa waliojazana vibanda umiza au
Ila Diara mjinga sana, yeye kila wakati ni kujidai ameumia tu.Sasa mnamsema Mwalimu mnamweka Bajaber....muwekeni mwamba Mwalimu....kamfundisha adabu Diaraa...😂
Hakuna kitu kama hicho bwana hapa kwenye mji ninapo kaa nilichelewa kidogo kwenda vibanda umiza nimezunguka mji mzima vibanda umiza vyote vimetapika mpaka mm na washikaji wengine tukarazimika kurudi kwenda kuangalizia nyumbani tu.Oktoba 29 imewaondolea Watanganyika walau ile furaha kiduchu waliyokuwa nayo.
😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣Nina hofu na kocha wa Yanga! Hachelewi kuja na mfumo wake wa kikuda wa kucheza nyuma, na hivyo kuwongezea ujiko mbumbumbu fc.
Lol. Haya yaseme hayo mengi Mtani.Nina mengi ya kusema, lakini kwa sasa hapana.
Baada ya dakika 90 nitarudi hapa.
Kila la kheri chama langu Simba.
Mie nimeacha,nimeambiwa mie mamluki🤣🤣Mawardat hivyo umeamua kushangilia tena mpira ama? 😂😂😂
Hana lolote mchawi yule Ile ilikua ni mbinu ya kupoza presha ..na zaidi uchawi wake chama aliugunduaIla Diara mjinga sana, yeye kila wakati ni kujidai ameumia tu.
Weeeee ..atoe penat atakula wapi ...pesa za gsm tamu...Angekuwa Aragija au Kayoko asingetoa penati
🤣We siuliniwekaga ignore list?Waeleze watu Diarra alikuwa anaenda wapi huko?