Full Time: Yanga SC 1-0 Bandari FC | Siku ya Wananchi 2025 | Mkapa Stadium

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
33,225
Reaction score
83,181
Klabu ya Yanga inatarajia kukipiga dhidi ya Bandari FC kutokea nchini kenya katika uwanja wa Benjamin Mkapa leo Septemba 12, 2025 katika kuadhimisha siku yao ya Mwananchi.


Yanga yauza tiketi zote (Full house)



Uwanjani (Benjamini Mkapa) kukiwa kunameremeta kuelekea sikukuu ya wananchi
Your browser is not able to display this video.

Baadhi ya mashabiki wakiwasili uwanjani kwa morali
Your browser is not able to display this video.

Mashabiki mbalimbali wakielezea furaha yao kuhudhuria tukio kubwa na la kihistoria
Your browser is not able to display this video.

Baadhi ya mashabiki ndani ya uwanja wakiwa na mabango ya kuwasimanga watani wao wa jadi

Kikosi cha Yanga cha wanawake kikiingia uwanja wa Taifa
Your browser is not able to display this video.

Line-Up


Dakika ya 3
Ecuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa goaaaaaaal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…