DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Leo wakiitikia nitajiudhuru kushabikia Yanga!
Karibuni sana unyamani. Wengine tulipopata akili, tulitoka huko kwenye ukada usio rasmi.
Leo wakiitikia nitajiudhuru kushabikia Yanga!
Karibuni sana unyamani. Wengine tulipopata akili, tulitoka huko kwenye ukada usio rasmi.
usimchukie mwanamke mwenzako kiasi hki mkuuLeo wakiitikia nitajiudhuru kushabikia Yanga!
Tz tu tho tulio ughaibuni tunatiririka tuHuu mtandao si ulifungiwa
Kwa hiyo sisi tulioko Sirari tuko ughaibuni?Tz tu tho tulio ughaibuni tunatiririka tu
Sjajua sirari I guess iko north Carolina au?Kwa hiyo sisi tulioko Sirari tuko ughaibuni?
Kachague ya mwenge š¤£š¤£š¤£Mimi bado sijagaiwa jeziššššš
Tanzania ndo umefungiwa kwa sisi tuliopo Tokyo tunaupata kama kawaidaHuu mtandao si ulifungiwa
We mzee Niko pongwe kwenye makarasha ya kokoto huku nikipandisha mjini nakuja kukuvunjia tunguri hizo
Mechi ni saa ngapi?Kwa uongozi wa Yanga;
Tamasha lijalo la Mwananchi muwarudishe kundini akina Harmonize, Marioo, Nandy/Bilnass, Rayvanny, na ikiwezekana na Diamond Platinumz. Hawa jamaa wanalimudu jukwaa.
Leo bado sijashawishika kabisa na wasanii wanao tumbuiza. Sijajua kwa huko baadaye wakija hao akina Dula Makabila. Ila mpaka muda huu, bado sijashawishika.
Yanga wamesema wao wanaenda na na muziki wa asili(singeli)Kwa uongozi wa Yanga;
Tamasha lijalo la Mwananchi muwarudishe kundini akina Harmonize, Marioo, Nandy/Bilnass, Rayvanny, na ikiwezekana na Diamond Platinumz. Hawa jamaa wanalimudu jukwaa.
Leo bado sijashawishika kabisa na wasanii wanao tumbuiza. Sijajua kwa huko baadaye wakija hao akina Dula Makabila. Ila mpaka muda huu, bado sijashawishika.
Saa 2+ usiku.Mechi ni saa ngapi?