min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kuchangia chama tu haujajiudhuru sembuse kuitikia nan kama mama😅 una utani weweLeo wakiitikia nitajiudhuru kushabikia Yanga!
Kuchangia chama tu haujajiudhuru sembuse kuitikia nan kama mama😅 una utani weweLeo wakiitikia nitajiudhuru kushabikia Yanga!
Kuchangia niliwasamehe, tusubiri leo.Kuchangia chama tu haujajiudhuru sembuse kuitikia nan kama mama😅 una utani wewe
Una akili nyingi wewe , kwanzia leo naacha kazi nikufuatilie tuSawa sawa. Tangu watoe mil 100 aah hii timu ilinisikitisha sana
Wakiita wasipo itika nipige banKuchangia niliwasamehe, tusubiri leo.
Timu zipo 18. Hiyo ni cropNdugu mwasibu naomba kujua kwa nini timu zipo 16! but season around zimecheza michezo 34?
Watajaza mapolisi waitikie hawatokubali aibu ijirudieWakiita wasipo itika nipige ban
Sawa ndugu mwasibu sasa kama unaona yanga wamejipendelea kwa kuita timu dhaifu, mbona nyinyi hamjakubali pendekezo la yanga la kucheza home and away kwenye matamasha yetu?Timu zipo 18. Hiyo ni crop
Nawangoja nione vile mnamtafuta Amanda huku mkilambishwa sukari 😁Sawa sawa. Tangu watoe mil 100 aah hii timu ilinisikitisha sana
Miongoni mwa kauli ambazo Manara aliongea akiwa hajalewa ni wenye akili ni wawili.Guys hivi hawa tunaweza kuwategemea kupuuza midosho ya Gerson kuhusu siasa?
View attachment 3470284
Mama hatumdai ✅/ mama Hana deniiiiiLeo wakiitikia nitajiudhuru kushabikia Yanga!
Viongozi ndiyo huwa wanakuwa kimbelembele mwisho inaonekana ni timu nzimaWajichanganye kushobokea wanasiasa ntahama timu!
Guys hivi hawa tunaweza kuwategemea kupuuza midosho ya Gerson kuhusu siasa?
View attachment 3470284
😂😂😂😂Nawangoja nione vile mnamtafuta Amanda huku mkilambishwa sukari 😁