Anapatikana mtandao gani huyu nikamsalimie
Nasikia wamezawadiwa mpka hati ya kiwanja πHadi muda huu makolo hawajaanzisha uzi ujue hakushangiliwa bali aliwekewa recorded cheeereko. Angeshangiliwa hadi muda huu ungeona ushahidi wa video
Leta timu yakoWe unaona kuna kitu hapo ?
Nasikia wamezawadiwa mpka hati ya kiwanja π
Dart wenyewe wamechemkaUongo siasani ushaona wapi mtu kazawadiwa pande la bahari akajenge uwanja muleπ€£π€£
Reclamation itafanyika usowe na shaka.Uongo siasani ushaona wapi mtu kazawadiwa pande la bahari akajenge uwanja muleπ€£π€£
Wamebembelezwa ili wamshangilie mkulu.Nasikia wamezawadiwa mpka hati ya kiwanja π
Si wewe ulisema utahama chama la ccm mkuu?πUongo siasani ushaona wapi mtu kazawadiwa pande la bahari akajenge uwanja muleπ€£π€£
Hakuna cha kubembelezwa ,washabiki wengi wamekurupuka kushabikia hilo chama bila kujua rangi yake halisi bwashee πWamebembelezwa ili wamshangilie mkulu.
Pole mkuu π πBao moja halitoshi kabisa; litaniharibia sana mkeka wangu
NotedHakuna cha kubembelezwa ,washabiki wengi wamekurupuka kushabikia hilo chama bila kujua rangi yake halisi bwashee π
Tarehe 16 naziona bao 7 πNimependa perfomance ya dvoice
Leonardo hakujipanga vizuri utadhani alipewa taarifa siku 1 kabla ya shughuli.
Unahama au unabaki?Nimependa perfomance ya dvoice
Leonardo hakujipanga vizuri utadhani alipewa taarifa siku 1 kabla ya shughuli.