Full Time: Yanga SC 1-0 Bandari FC | Siku ya Wananchi 2025 | Mkapa Stadium

Gaweni jezi sisi tumeshauza zote kwisha🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Tukifungwa nahalisha njia nzima kutoka uwanjani hadi Msimbazi kwenda kuwaomba msamaha watani kwa kuwakebehi na kibao chao kimoja...
 
Kwa uongozi wa Yanga;

Tamasha lijalo la Mwananchi muwarudishe kundini akina Harmonize, Marioo, Nandy/Bilnass, Rayvanny, na ikiwezekana na Diamond Platinumz. Hawa jamaa wanalimudu jukwaa.

Leo bado sijashawishika kabisa na wasanii wanao tumbuiza. Sijajua kwa huko baadaye wakija hao akina Dula Makabila. Ila mpaka muda huu, bado sijashawishika.
 
Mechi ni saa ngapi?
 
Yanga wamesema wao wanaenda na na muziki wa asili(singeli)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…