[emoji91][emoji91][emoji91]Kila lenye kheri Simba Sport Club....
Ubaya Ubwela....
TawileYanga 4
Debora fc 0
Unasikitisha sanaAGG.
SIMBA 2 YANGA 7
UnaotaTawile
mpira ni saa ngapiUnasikitisha sana
Wataulamba tu.Waleteni wazee wa TASAF tuwatapishe ugoro na buza
Basi sawa kumbe na wewe hujui kitu sasa.Mkuu,
Tuweke focus kwenye mechi hii, wrnzako wameshaweka ahadi timu zao zikifungwa watafanyaje, wewe hujaweka ahadi.
ID unayoilalamikia sio Moderator wa JF
Saa moja!!mpira ni saa ngapi
Sold outOya vipi huko full house au?
Mimi baada ya kuona kikosintaweka koment yangu baada ya dk 90+
Mpira haunaga hiyo mambo lazima tuheshimu wapinzani wetuLeo kutakuwa na Hat trick kutoka kwa Prince Dube. Naiona Yanga ikicharaza Simba goli zaidi ya 8. Hii mechi itaandika historia mpya kwenye tasnia ya soka nchini.
Hii sio mara ya kwanza kulalamika kuhusu hiliMkuu,
Tuweke focus kwenye mechi hii, wrnzako wameshaweka ahadi timu zao zikifungwa watafanyaje, wewe hujaweka ahadi.
ID unayoilalamikia sio Moderator wa JF
Nipo Taifa hapa nakutafuta.Ahsante sana mzee wa Hall 5. sumbai Leo ushindi tu. Yanga daima mbele, nyuma mwiko πͺππ. Ukiona bendera kubwa juu, kwenye tako la nyani jua nimimi. Nina fujo π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Nipe ticket nikakae kule VVIP, [emoji23][emoji23]Haya Tusogee Uwanjani Tucheki Boli...
Tuangalie Jinsi Yanga Anavyoteseka Leo kama Mbwa kokoView attachment 3064646