FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Yanga inaibuka na ushindi huku zikitokea zaidi ya goli mbili..
 
Mkuu,
Tuweke focus kwenye mechi hii, wrnzako wameshaweka ahadi timu zao zikifungwa watafanyaje, wewe hujaweka ahadi.

ID unayoilalamikia sio Moderator wa JF
Basi sawa kumbe na wewe hujui kitu sasa.

Anyway kesi ya nyani......

🤣🤣🤣🤣.
Nina imani na Simba.
Sisi tunanguvu!!

Ahadi yangu. Utopolo wakishinda hii game niitwe farida, nimekaa pale!!
 
Nyie wajomba mko upande gani game ya baadae? Tujuane mapema
Screenshot_20240808-165544.png
 
Leo kutakuwa na Hat trick kutoka kwa Prince Dube. Naiona Yanga ikicharaza Simba goli zaidi ya 8. Hii mechi itaandika historia mpya kwenye tasnia ya soka nchini.
Mpira haunaga hiyo mambo lazima tuheshimu wapinzani wetu
 
Mkuu,
Tuweke focus kwenye mechi hii, wrnzako wameshaweka ahadi timu zao zikifungwa watafanyaje, wewe hujaweka ahadi.

ID unayoilalamikia sio Moderator wa JF
Hii sio mara ya kwanza kulalamika kuhusu hili
Last time aliyewahi ni kiwatengu lakini uzi wake mkauonganisha kwa huyu jamaa
Hatoi updates za uzi kwanini mnampendelee yeye kila siku na nyuzi zake?🤔
Wewe timu gani kwanza??
 
Back
Top Bottom