FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Yanga itashinda ila si goli 8, itakuwa goli 4 tu maana Simba wamekamia mechi, japo naona kuna penati na red card kwa mabeki wa Simba watataka kuonesha wanajua watu wasifie ila watazidiwa na mashambulizi ya akili za viungo wa Yanga Pacome, Max, Ki Aziz na Chama. Jamaa maji yatawafika shingoni watabutua weeee watachoka wataanza rafu!!
 
Show show.....tukutane kwa Mkapa, nipo njiani naelekea Mkapa, leo nitagawa lanchi bure
 
Unaelekea kutokea wapi, dodoma, ifakara,lindi, tanga ama?

Mechi ya saa 1 usiku saa hizi saa 3 na nusu ya asubuhi unaenda uwanjani?
 
kwani coastal union na azam wanacheza lini mbona sioni wakizungumziwa au wao hawachezi mpira wa miguu...πŸ˜…
 
Mimi ni mwanachama na shabiki mkubwa wa Dar es salaam Young African,nasema kitendo cha timu yangu kushinda kitanipa furaha na Imani zaidi kwa my favorite team

Ila kitendo cha team ya Simba kufungwa leo,ikiwa ni mara ya tatu mfululizo ni wazi Derby itaelekea kukosa mvuto.

Viva Yanga,viva wananchiπŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’›
 
Hv kocha wa thimba anaitwa nani? Naitaji kujua jina lake kabla ajafukuzwa
 
afungwe tu mpira ufundi.
 
Kila la kheri chama langu Young africans πŸ’›πŸ’šπŸ’›

#DaimaMbele #NyumaMwiko πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…