Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Naunga mkono hojaWanabahati mbaya sana msimu ujao wanaweza kupigwa mechi zote tatu daah........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaWanabahati mbaya sana msimu ujao wanaweza kupigwa mechi zote tatu daah........
lanchi mihogoShow show.....tukutane kwa Mkapa, nipo njiani naelekea Mkapa, leo nitagawa lanchi bure
Ubaya ubwelaUbaya Ubwela unaendelea
Inawezekana hawana wa kuwazungumzia.kwani coastal union na azam wanacheza lini mbona sioni wakizungumziwa au wao hawachezi mpira wa miguu...[emoji28]
Mpira utacgezwa saa ngapi wakuu?
Ngao ya Jamii: Alhamis hii ni nusu fainali ya wababe. Saa 1:00 usiku ni Kariakoo Derby Yanga SC dhidi ya Simba SC ngoma itapigwa dimba la Benjamin Mkapa.
afungwe tu mpira ufundi.Mimi ni mwanachama na shabiki mkubwa wa Dar es salaam Young African,nasema kitendo cha timu yangu kushinda kitanipa furaha na Imani zaidi kwa my favorite team
Ila kitendo cha team ya Simba kufungwa leo,ikiwa ni mara ya tatu mfululizo ni wazi Derby itaelekea kukosa mvuto.
Viva Yanga,viva wananchi💚💚💛💛