Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Yani alietuloga kwny hizi timu alaaniwe...Tanzania yafunguliwa Kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 3.2 kutoka kampuni ya Orca Energy kwa kukiuka Mkataba wa Uwekezaji
Ukisoma hii unaelewa nini? On August 5, 2024, this was confirmed by a letter received by PAET from the Ministry of Energy, in which the Ministry of Energy demanded that PAET propose suitable wording for an "interim arrangement" to extend the provision of PG. The letter further states that if...www.jamiiforums.com
Watanganyika,ondokeni huko wekeni vichwa na akili zenu humu. Tunapigwa na kitu kizito