FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024


Watanganyika,ondokeni huko wekeni vichwa na akili zenu humu. Tunapigwa na kitu kizito
Yani alietuloga kwny hizi timu alaaniwe...
 
Acheni wivu...yani kagoli kamoja ndo msahaau mtiti mliopata dimbani?
Shida nyie hamna hela za kwenda kurefresh...😃😃😃
Hizo ni tabu zenu sio zetu...
😂🤣😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂 Mtani tukutane ligi kuu
 
Simba haina timu, ina kikosi, hichi kikosi kikija kuwa timu kitasumbua kwa muda mrefu sana.
Simba ni Academy, watu katikati ya msimu tu watu wanakuja kuchukua wachezaji watakaoonyesha uwezo
 
Hujaelewa point yangu mzee.
Nachomaanisha referly ametumia wisdom zimebaki sekunde ya nini kuhangaika na penalty!!??
Pia usisahau na sisi tungelilia penalty ungekua umekufa tatu wewe.
Refer alikua fair mchezo mzima.
Mpira hauchezeshwi kwa wisdom
...mpira unachezeshwa kwa sheria+kanuni. Ile ni clear penalty..
.period.
 
Tunawaandalia wazee wa baadae mje muwasajili...hapa mtawapondea sana kumbe moyoni mnaona ni majembe ya kulima mbatata na taka taka zote shambani...
 
Kwa hiyo hiki ndicho kikosi cha Yanga wanachokwenda kuchukua ubingwa klabu bingwa Afrika?

Nauona mwanga angavu ndani ya chama la SimbaSC, ila kibu Denis hafai ashakuwa mzembe wamuweke kando hana tofauti na Mzize kila akishika mpira anapoteza na kuwapa tabu wenzake.
 
Back
Top Bottom