Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

So far kwa msimu huu baada ya kukifumua kikosi chake anahitaji marekebisho kidogo.

1. Number Mbili pale kwa Kapombe paimarishwe
2. Kati kati atafutwe holding mido la kimataifa
3. Striker atafutwe mfumania magoli.

Simba inagitaji wachezaji 3 wa kimataifa.
 
Yanga hapo inabidi tufanye tumchukue mpanzu aje kucheza na wanaojua wenzake!!!
 
Jamani mimi Kalpana leo naaga rasmi ushabiki wa ndani ya nchi hiii ila Simba itabaki moyoni mwangu
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Mtani bila wewe jukwaa la michezo litapoa sana
 

Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025​


Cc: Bantu Lady
Ahsante rafiki yangu BUSH BIN LADEN huu ushindi ilikuwa lazima. Ndiyo maana madunduka walikuwa wanachenga. Ilikuwa wale 5, washukuru wamepunguza makali.

#YANGABINGWA πŸ†
🟨🟩🟨🟨🟨🟩🟨🟩
 
Wamekimbia were wamukuja kufa kama kawaida yao waendelee kutafuta matawi wamejifungisha kombe la Crdb fainal walijua watatukimbia mpaka mwakani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…