Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
Hamia Yanga unenepe zaidi,hilo timu la propaganda litakutoa vidonda vya tumboSitaki hata kusikia πππ
Kalale.Acha kuzuga
Halafu uniambie ulikuwa wapi!Kwani wewe hujafurahi?
Hizo tatu zilizobaki ndio zangu kidumeπKa miiiiin tulia tulia riziki mafungu 7
Nilale mara ya ngapi?Kalale.
Tafuta mwanayanga mmoja oaNyumba ipo ila alitaka kujifananisha na juhudi za mzee wangu na wake nikaona nipige chini broπππ
Wahuni waliniibia simu.Halafu uniambie ulikuwa wapi!
Acha ujinga Wa kijinga...Nimekutag?
Huyu mutu ya mheshimiwa Lucasephen_ ananichomolea kikatili sana broπ€
Usishangae wakafanya usajili wa bilioni kadhaa wakashona sare zao haoo vikundi. Furaha yao watukande.Na wao furaha yao ni kutunyoosha tu , hata wakiishia makundiπ
Au sioKila la heri mnyama SIMBA π΄π΄
Haya bana...ukumbi wenu
PoaNdio
Nimekaa paleπHizo tatu zilizobaki ndio zangu kidumeπ
Dr am 4 real PhD pombe zimeisha lakini?Nimekaa paleπ