Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Huu ujinga aliofanya Simba nikama ameamua kumpotezea mpinzani wake mapato kutoka kwa Mashabki.
 
Simba akipeleka timu nitajua kuwa kweli ni mbumbumbu
 
Kumbe Simba wanaweza kucheza bila ya kukagua uwanja usiku?

Sasa kilichowakimbiza tarehe 8 ni nini kama siyo ujinga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…