Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Dah hii derby imenikuta mbali Sana, msaada wakuu wa link ya kuangalia mechi maana naona kama fawanews wameipiga kufuli
 
5imba jana wamechukua tickets zao za VIP kwa ajili ya viongozi wao,hawana ubavu wa kugomea hii match.
Wakigomea maamuzi ya Mkuu wa nchi wajitayarishe mwakani kucheza playoff na mwaka unaofuata Championship.
Zile penalti na magoli waliyokua wanafaidika nayo, watafaidika wapinzani wao.
Hata hivyo nitakua mtu wa mwisho kuamini kwamba MADUNDUKA hayataripoti LUPASO.
 
Walete hao utopolo.
Wataelewa kwanini mwanamke akaambiwa akae vizuri mchana anatengeneza nguo yake vizuri, na akiambiwa akae vizuri usiku anavua nguo vizuri.
🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…