Hawa yanga wanakera sana mkuu, haiwezekani daily wawe kikwazo cha furaha yetu.
YANA MWISHO.
Wewe hizo mechi zinazokuja zinakuuma nini? Tuache tutamshughulikia kila mmoja.Utopolo hawatumii akili, Emayel anawajua vizuri.
Tunzeni nguvu zenu kuna mechi muhimu zinakuja. Hata mfunge 7 mtabaki hapo hapo #2.
Imebidi nichekeKuna timu hata ikishinda inabaki pale pale kama baiskeli ya kunolea visu.
Mnaumia huko ukoloni kuanzia mashabiki mpaka msemaji wenu.Utopolo hawatumii akili, Emayel anawajua vizuri.
Tunzeni nguvu zenu kuna mechi muhimu zinakuja. Hata mfunge 7 mtabaki hapo hapo #2.
Mawumivu yanapozidi unamuwona dagtariRefa angeliacha tu hilo goli ili wajisifu wana kikosi bora mimi nasema tutaona cafcl, yani timu huku nbcpl inapangiwa vikosi b halafu inajisifu iko vizuri, ngoja wakakutane na wanaojua wanachokifanya huko
Hii mechi ingefutwa tu maana haibadili msimamo wa ligiKuna timu hata ikishinda inabaki pale pale kama baiskeli ya kunolea visu.
Risiti π π π πRefa angeliacha tu hilo goli ili wajisifu wana kikosi bora mimi nasema tutaona cafcl, yani timu huku nbcpl inapangiwa vikosi b halafu inajisifu iko vizuri, ngoja wakakutane na wanaojua wanachokifanya huko
Kujifariji ni muhimu ajili ya afya za makolo.Kuna timu hata ikishinda inabaki pale pale kama baiskeli ya kunolea visu.
Ila kolo ni kolo tu unaumia ukiwa wapiHii mechi ingefutwa tu maana haibadili msimamo wa ligi
Usiwaamshe broUtopolo hawatumii akili, Emayel anawajua vizuri.
Tunzeni nguvu zenu kuna mechi muhimu zinakuja. Hata mfunge 7 mtabaki hapo hapo #2.
Msimamo wa ligi, tutaubadili siku tukikutana na mwali wetu kolo.Hii mechi ingefutwa tu maana haibadili msimamo wa ligi
Nikiwa kileleni mwa ligiIla kolo ni kolo tu unaumia ukiwa wapi
Mnaumia kweli kweliBomu mochwari πππ
Nendeni mkawakumbatie nyuki ndo utapata jibuUuuuuuuwiiiiii! Kuna timu inatamani kukutana na hii Yanga??????