Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

Utopolo hawatumii akili, Emayel anawajua vizuri.

Tunzeni nguvu zenu kuna mechi muhimu zinakuja. Hata mfunge 7 mtabaki hapo hapo #2.
Mnaumia huko ukoloni kuanzia mashabiki mpaka msemaji wenu.

Ila Yanga tunaangalia kilichopo, hicho cha baadae mipango yake baadae. Ila kama unaona hawa wanaonewa unaweza ukaleta timu yako.
 
Uzi unahusu mechi ya Yanga na Fountain Gate lakini comments zilizojaa ni kuhusu Simba.

Hivi hii inaweza kutokana na ukubwa wa hiyo timu katika aspects zote?

I mean kwenye social media Simba imeviacha mbali vilabu vingine kwa idadi ya wafuasi na hivyo vilabu vikitaka kutumia ukubwa wa Simba kama jeki ili navyo vijulikane.

Au sometimes ni kutokana na kuwa Club namba 6 kwa ubora Africa? Kwamba kila Club inaiona Simba kama role model wao na kujikuta zinajipima mafanikio kupitia Simba?
 
Refa angeliacha tu hilo goli ili wajisifu wana kikosi bora mimi nasema tutaona cafcl, yani timu huku nbcpl inapangiwa vikosi b halafu inajisifu iko vizuri, ngoja wakakutane na wanaojua wanachokifanya huko
Mawumivu yanapozidi unamuwona dagtari
 
Refa angeliacha tu hilo goli ili wajisifu wana kikosi bora mimi nasema tutaona cafcl, yani timu huku nbcpl inapangiwa vikosi b halafu inajisifu iko vizuri, ngoja wakakutane na wanaojua wanachokifanya huko
Risiti 😃 😃 😃 😃
 
Badala mdai katiba mpya mmekalia simba na Yanga kenge kweli. Mtaendelea kuwa masikini mpaka mwisho dahari.
 
Back
Top Bottom