Full Time: Young Africans 4 - 0 Tanzania Prisons | NBC premier league | KMC Complex| Disemba 22, 2024

Malalamiko yameanza wakati ndio kwanza yanga wanajitafuta,,sasa wakijipata vizuri si mtawaita wachezaji wenu mara tatu kama magori ALIVYOMUITA CAMARA,,uwezo wa timu yako ndio uko ivyo ni WA daraja la hizo timu,,usidhani yanga kwakuwa waliyumba kidogo ndio udhani class ya wachezaji wao imekwisha mlikuwa mnajidanganya sana,,lilikuwa ni suala la muda tu kurudi kwenye ubora wao!
 
hata yanga pia katunza nguvu kwa ajili ya nyau ko hii inaitwa collaboration
Nyie endeleeni kujifariji wakati ndipo uwezo wenu ulipoishia, mkija kushtuka msimu umeisha na hamna kombe lolote, kitu pekee mtakachobaki kujivunia ni kumfunga mtani tu
 
Nyie endeleeni kujifariji wakati ndipo uwezo wenu ulipoishia, mkija kushtuka msimu umeisha na hamna kombe lolote, kitu pekee mtakachobaki kujivunia ni kumfunga mtani tu
Nimeweka risiti hii ndugu yangu 😃 😀 😀
 
Watu wapo Shirikisho na timu zisizojulikana, timu inaitwa Fuc*k shien na bado anahangaikia nafasi ya tatu, anapata wapi nguvu kuzungumzia timu ya CAFCL?? Mbumbumbu will always be MBUMBUMBU
Huko cafcl unashika nafasi ya ngapi?
 
Nyie endeleeni kujifariji wakati ndipo uwezo wenu ulipoishia, mkija kushtuka msimu umeisha na hamna kombe lolote, kitu pekee mtakachobaki kujivunia ni kumfunga mtani tu
Unateseka😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
 
Dooh kutoka kuwa na kikosi kipana na kuwauliza watu "we huogopi" hadi leo hii kusema timu inajitafuta kweli maisha yanaenda kasi sana, sasa kama likikosi lipana kama lile mliloona hakuna wa kulifunga hapa afrika limeweza kufungwa na kuburuza mkia huko klabu bingwa siku mkiwa na kikosi kibovu je itakuwaje, kwahiyo simba ikifungwa ina kikosi kibovu ila yanga ikifungwa ni wachezaji tu waliyumba kidogo aloo mashabiki wa yanga mpaka leo sijui huwa mnatumia nini kufikiri
 
Kupoteza mechi 3 ilikuwa ni kuyumba na sio kupoteza class waliyonayo yanga,,elewa neno kujitafuta,wamejitafuta kipindi timu imeyumba aijalishi kikosi kilikuwa na upana Gani,,alafu usilinganishe klabu bingwa na kikombe cha ushirikishwaji ambacho yanga kacheza fainali,,timu insyoburuza mkia klabu bingwa ni sawa na timu inayoongoza kundi shirikisho ivyo muwe mnajielewa kabla amjaongea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…