Ona hii kijana ya Rage!Acheni kusumbua watu kwenye vitu vya kijinga
Uwezo ndio ushindwe kunifunga miaka 3 mkuu π π πSi ndio kama ulivyosema kuwa tuligawa point
Maana yake tuliwafanyia hisani baada ya nyie kushindwa kuzipata kupitia uwezo wenu.
Wanadharau sana hao jamaaModerator wameona hii mechi haina umuhimu. Ni kama ndondo Cup.
Azammvuto utapatikana siku akikutana na my wake
My wa Yanga siku zote ni makoloAzam
πΈMy wa Yanga siku zote ni makolo
Halafu Kamanda ulitakiwa kuwa kwenye msafara wa kurejesha fomu na Kamanda Mkuu!! Badala yake uko huku kuishangilia Young Africans, timu ya Wananchi!!Hapa Aucho ilitakiwa apewe kadi ya njano. Si aende akacheze mieleka kama Mpira umemshinda?
Goli zuri. Ila ndiyo maana hii timu Iko kwenye mporomoko wa kushuka daraja.Bacca kambaaa
πππScars alisema dube hamna kituπππππ