Full Time: Young Africans 4 - 0 Tanzania Prisons | NBC premier league | KMC Complex| Disemba 22, 2024

Hii Yanga hii...
Dahh..
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’š
 
HIVI MODERATORS MNATAKA MTUKANWE ILI MWAPIGE WATU BAN SIO.
MECHI ZA SIMBA MPIRA UNAANZA MNAWEKA LIVE ILA KILA MECHI YA YANGA LAZIMA MCHELEWE.
Yani mashabiki wa hii timu sijui mna akili gani mnapenda sana kujilalamisha kama watoto wa kambo na kujifanya victims, jana hapa hadi simba inafunga goli la pili hakukuwa na update yoyote wala live ila hakuna shabiki wa simba aliyeongea huu ujinga, nimeamini mashabiki wa yanga mmeanza kuchanganyikiwa na hamjiamini kila kitu mnaona kama mnaonewa na simba inapendelewa..pathetic!!
 
Yanga wakishindwa kufunga magoli ya kutosha Leo watakuwa hawana akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…