Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Kama Kagera tu HawaGoli zuri. Ila ndiyo maana hii timu Iko kwenye mporomoko wa kushuka daraja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Kagera tu HawaGoli zuri. Ila ndiyo maana hii timu Iko kwenye mporomoko wa kushuka daraja.
Ndio niniPampa to pampaa 😀
Ana tofauti na Kagera?Goli zuri. Ila ndiyo maana hii timu Iko kwenye mporomoko wa kushuka daraja.
UsitusumbueModerator twende live
😀😀 no liveModerator wameona hii mechi haina umuhimu. Ni kama ndondo Cup.
Kabisa... Hela Kwenye Mpira ni muhimu sana zama hizi. Siyo kuwapa wachezaji kande na bakuli la uji.Kama Kagera tu Hawa
hapa ndio tuna anza hesabu magoli sasaDubeeeeeeeee ⚽️⚽️⚽️
No live. Mechi ya kawaida sana hii.😀😀 no live
Naunga mkono hoja mkuu 😀 😃 😃 😃Kabisa... Hela Kwenye Mpira ni muhimu sana zama hizi. Siyo kuwapa wachezaji kande na bakuli la uji.
Irudi Mara ngapi MkuuYanga imara inataka kurudi tena
Yani mashabiki wa hii timu sijui mna akili gani mnapenda sana kujilalamisha kama watoto wa kambo na kujifanya victims, jana hapa hadi simba inafunga goli la pili hakukuwa na update yoyote wala live ila hakuna shabiki wa simba aliyeongea huu ujinga, nimeamini mashabiki wa yanga mmeanza kuchanganyikiwa na hamjiamini kila kitu mnaona kama mnaonewa na simba inapendelewa..pathetic!!HIVI MODERATORS MNATAKA MTUKANWE ILI MWAPIGE WATU BAN SIO.
MECHI ZA SIMBA MPIRA UNAANZA MNAWEKA LIVE ILA KILA MECHI YA YANGA LAZIMA MCHELEWE.
Mods wameonesha wana hasadi Kabisa na sisi kama bando wameishiwa si waseme tuwanunulie mbona wanaonesha dharau kwetu sisi yanga Sc😀😀 no live
Achana nao wanadharau sana hao jamaa