let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
unapsema" Mungu asingeweza Unakusudia nini abi? ".Kwa sababu kila mmoja ameelezewa vizuri ndani ya biblia, Mungu asingeweza kujito mwenye kuja duniani kuadhibiwa na wanadamu, hii ni dharau hata malaika wangemcheka
mstari huyo ndo unamaanisha nn nduguUsipende kulazimisha maana ya biblia iende unavyotaka, kwa hiyo mstari huyo una maana gani
Wewe bana ungetuacha tu na imani yetu.Nasikitika sana kuona mtu anatetea fundisho la Utatu jambo ambalo ndani ya biblia halipo.
Upo ushahidi mwingi wa maandiko unaotofautisha Mungu, Yesu Kristo na Roho Takatifu ambayo waamini wa Utatu wanaita Roho Mtakatifu kama vile ni mtu. Je, Mungu anaonekana? Yesu alionekana, hakuna aliemuona Mungu hata Musa mwenyewe.
~ Andiko la Yoh 17:3 lina maana gani? Ikiwa Yesu ni Mungu?
~ Methali 8:30 ina maanisha nini?
~ Mwanzo 1:26 Mungu alikuwa akizungumza na nani?
Ningependa kupata majibu ya maandiko, jibu hoja kwa andiko ili tuamini unachosema. Maandiko yapo mengi sana yanayo tifautisha Mungu, Yesu na roho/nguvu ya Mungu ya utendaji.
Nani kakuambia huyu Brian Decon raia wa UK toka lini akawa ndie YesuWewe bana ungetuacha tu na imani yetu.
Kama tumeweza kuamini kua huyu muigizaji hapa chini ndio mfano wa Yesu hivyo tukamchonga kwenye sanamu na kumuweka madhabahuni basi lisikusumbue sana swala la utatu.
Linapokuja swala la imani sisi hua tunawapa akili zetu wakuu wetu wa dini wafikirie kwa Niaba yetu, halafu watakachoamua wao basi sisi hufuata bila kuuliza.
View attachment 2456633
Ndio nimemaliza, mpangilio huu wa ulimwengu lazima una mwanzo, au mbunifu aliyefanya hiyo kazi, bila shaka ni Mungu hakuna anayeweza kufanya aliyofanya
kati ya Yehova na Yesu aliye muumba mwenzake nani?Inaoneka haujui utatu mtakatifu(MUNGU)
MUNGU ni kama raisi . U-Raisi umetengenezwa na vyeo vitatu raisi mwenyewe , makamu raisi na waziri mkuu
MUNGU imetengenezwa na vyeo vitatu
I - JEHOVAH (MUNGU Baba) yeye huwa haonekani
II - Yesu / Masihi ( MUNGU Mwana ) yeye ndiye kiumbe cha kwanza kuumbwa , ndo mana anajulikana kama kaka wa kila kilicho umbwa na ndiye yeye pia alishiriki katika uumbaji wa mbingu(malaika) na dunia(wanadamu)
III Roho Mtakatifu (MUNGU Roho) - Roho ya Mungu ina act kama kiumbe. Huja kwa maumbo mbalimbali - kama nguvu , kama mwanadamu , kama njiwa
MUNGU ni kama raisi . U-Raisi umetengenezwa na vyeo vitatu raisi mwenyewe , makamu raisi na waziri mkuu
MUNGU imetengenezwa na vyeo vitatu
I - JEHOVAH (MUNGU Baba / MUNGU Mwenyewe) yeye huwa haonekani
II - Yesu / Masihi ( MUNGU Mwana ) yeye ndiye kiumbe cha kwanza kuumbwa , ndo mana anajulikana kama kaka wa kila kilicho umbwa na ndiye yeye pia alishiriki katika uumbaji wa mbingu(malaika) na dunia(wanadamu)
III - Roho Mtakatifu (MUNGU Roho) - Roho ya Mungu ina act kama kiumbe. Huja kwa maumbo mbalimbali - kama nguvu , kama mwanadamu , kama njiwa
MUNGU mkuu ni nani ?Umepotea kidogo bosi, YEHOVA ni mwana wa Mungu,, sio Mungu mkuu[emoji2373]
Soma tena unieleweNani kakuambia huyu Brian Decon raia wa UK toka lini akawa ndie Yesu
Yehova ni Baba - ndiye aliyemuumba Yesukati ya Yehova na Yesu aliye muumba mwenzake nani?
Na kati ya Yehova na Roho mtakatifu anaye tumwa na mwenzake nani?
Mimi nina SIMULIZI ya jamaa aliyefanya kila aina ya miujiza kumtafuta MUNGU akihusisha UCHAWI wa aina wote ulopata kuhusikia hapa DUNIANIKuna majamaa walijenga mnara kumfuata Mungu wakadondoshwa, wangekuwepo wangekupa majibu sahihi!
Upo sahihiKwa maelezo yako ya mafano wako inamaana
JEHOVA ni kama RAISI
Yesu/masiha ni Kama MAKAMU WA RAISI
Roho mtakatifu ni Kama WAZIRI MKUU
Kwa hiyo ni kitu/mtu mmoja au tofauti ?Yehova ni Baba - ndiye aliyemuumba Yesu
Roho Mtakatifu yupo chini ya Yesu , ni nafsi ya tatu ya MUNGU
Yehova(MUNGU Baba) huukaa katika kiti cha enzi , hutoa maagizo kwa Yesu na Yesu hutoa maagizo kwa Roho Mtakatifu
The fourth looks like a son of a living God AlmightyNasikitika sana kuona mtu anatetea fundisho la Utatu jambo ambalo ndani ya biblia halipo.
Upo ushahidi mwingi wa maandiko unaotofautisha Mungu, Yesu Kristo na Roho Takatifu ambayo waamini wa Utatu wanaita Roho Mtakatifu kama vile ni mtu. Je, Mungu anaonekana? Yesu alionekana, hakuna aliemuona Mungu hata Musa mwenyewe.
~ Andiko la Yoh 17:3 lina maana gani? Ikiwa Yesu ni Mungu?
~ Methali 8:30 ina maanisha nini?
~ Mwanzo 1:26 Mungu alikuwa akizungumza na nani?
Ningependa kupata majibu ya maandiko, jibu hoja kwa andiko ili tuamini unachosema. Maandiko yapo mengi sana yanayo tifautisha Mungu, Yesu na roho/nguvu ya Mungu ya utendaji.
Kumbe fundisho haliingii akilini!Nasikitika sana kuona mtu anatetea fundisho la Utatu jambo ambalo ndani ya biblia halipo.
Upo ushahidi mwingi wa maandiko unaotofautisha Mungu, Yesu Kristo na Roho Takatifu ambayo waamini wa Utatu wanaita Roho Mtakatifu kama vile ni mtu. Je, Mungu anaonekana? Yesu alionekana, hakuna aliemuona Mungu hata Musa mwenyewe.
~ Andiko la Yoh 17:3 lina maana gani? Ikiwa Yesu ni Mungu?
~ Methali 8:30 ina maanisha nini?
~ Mwanzo 1:26 Mungu alikuwa akizungumza na nani?
Ningependa kupata majibu ya maandiko, jibu hoja kwa andiko ili tuamini unachosema. Maandiko yapo mengi sana yanayo tifautisha Mungu, Yesu na roho/nguvu ya Mungu ya utendaji.
Hicho ni KIBURI CHA ![emoji12]Hata huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Kama unabisha, thibitisha yupo.
Endelea kutubariki na Nondo makini kama hizi.Kumbe fundisho haliingii akilini!
Soma hapa liingie Akilini kabla hujafa!
[emoji116][emoji116]
2.NAFSI TATU ZA MUNGU KATIKA BIBLIA
Katika MWANZO 1:1, tunaona hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Neno hili kwa kiebrania linaitwa ELOHIM Mwenye nguvu. Neno hili linatajwa katika Agano la kale pekee yake mara elfu mbili mia saba ( 2700 ).Sasa tuaangalia mifano ya matumizi ya dhahiri yanayoonyesha wingi katika UMOJAwa Mungu. MWANZO 1:26; MWANZO 3:22; MWANZO 11:5-7, wingi huo unaojitokeza pia katika kila kitabu cha Agano Jipya
IFUATAYO NI MISTERI AMBAYO MAHALI PAMOJA WAMETAJWA, BABA, MWANA, ROHO MTAKATIFU, IKIONYESHA WAZI KUWA NI NAFSI TATU TOFAUTI.
( MATHAYO 3:16-17; MATHAYO 28:19; YOHANA 14:16-17; MARKO 1:10-11; LUKA 1:32-35; LUKA 24:49; MATENDO 1:7-8; MATENDO 7:55-56; MATENDO 10:38-40; WAEFESO 3:14-17; 1WATHESALONIKE 1:1-5; 1PETRO 1:2-3; 1YOHANA 5:7-8; YUDA 1:20-21; UFUNUO 1:4-6 ).
Ifuatayo tena ni mistari ambayo mahali pamoja wametajwa Baba na Mwana au
Baba na Roho Mtakatifu au Mwana na Roho Mtakatifu ikionyesha wazi kuwa ni nafsi tatu tofauti. ( MARKO 13:32; YOHANA 1:18; YOHANA 5:17, 19-23; 1 WAKORINTHO 1:4; 1 WAKORINTHO 2:10; 1WAKORINTHO 1:2-3; WAGALATIA 1:1-4; WAFILIPI 1:1-3; WAFILIPI 1:2; WAFILIPI 2:9-11; WAKOLOSAI 1:2-3; WAKOLOSAI 3:1; 1WATHESALONIKE 3:13; 2WATHESALONIKE 1:1-2; 2WATHESALONIKE 2:16; 1TIMOTHEO 1:2; 2TIMOTHEO 1:2; 2TIMOTHEO 4:1; TITO 1:4; WAFILIPI 1:3; WAEBRANIA 1:5; WAEBRANIA 13:20; YAKOBO 1:1; 2YOHANA 1:3; UFUNUO 2:7; UFUNUO 21:22-23; UFUNUO 22:1-3 ).