Fundisho la Utatu haliingii akilini kabisa, mnaoamini mmetoa wapi mbona Biblia iko wazi kabisa?

Je nitakuwa sahihi nikisema wewe haupo duniani na sio hai kwa kuwa hajathitisha chanzo cha uhai wako?
Dhana nzima ya chanzo kuwa ni kitu cha lazima ni dhana potofu.

Kwa hivyo, hoja yoyote inayoshikilia dhana ya chanzo kuwa ni kitu cha lazima imejengwa katika msingi potofu.

Nimeongelea "Quantum Causal Loops" na kuweka link awali kwenye thread hii.

Ni udogo wa mawazo na ukosefu wa elimu tu unaoweza kumfanya mtu aone chanzo kuwa ni hoja muhimu na ya lazima.

Dhana nzima ya chanzo si muhimu wala ya lazima.

Zaidi,

Tatizo lako si tu kwamba huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Tatizo lako ni kwamba jitihada zako za kuthibitisha Mungu yupo, pamoja na ulimwengu tunaouona, vyote vunam cintradict Mungu huyo.

Mimi, hata ukisema sipo kwa sababu siwezi kuthibitisha chanzo cha uhai wangu, hakuna kitu chochote katika ulimwengu huu kinacho contradict uwepo wangu. Hakuna maelezo ya uwepo wangu yasiyo na logical consistency kiasi cha kuonesha kwamba siwezi kuwapo.
 
Huyu kiranga si mumuache aongee peke yake?!
ASITUFUKURISHE![emoji15]
Sisi Tunao Amini Uwepo wa Mungu Tujadiliane kwa Raha zetu!
 
Nasikitika sana kuona mtu anatetea fundisho la Utatu jambo ambalo ndani ya biblia halipo.

Upo ushahidi mwingi wa maandiko unaotofautisha Mungu, Yesu Kristo na Roho Takatifu ambayo waamini wa Utatu wanaita Roho Mtakatifu kama vile ni mtu. Je, Mungu anaonekana? Yesu alionekana, hakuna aliemuona Mungu hata Musa mwenyewe.

~ Andiko la Yoh 17:3 lina maana gani? Ikiwa Yesu ni Mungu?

~ Methali 8:30 ina maanisha nini?

~ Mwanzo 1:26 Mungu alikuwa akizungumza na nani?

Ningependa kupata majibu ya maandiko, jibu hoja kwa andiko ili tuamini unachosema. Maandiko yapo mengi sana yanayo tifautisha Mungu, Yesu na roho/nguvu ya Mungu ya utendaji.
Mkuu neno la Mungu huwa halihojiwi.....to be on safe side, wewe meza tu maandiko kama yalivyo, vinginevyo utatafuta ugomvi na waamini bila sababu za msingi.
 
Hata huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote unayesema yupo hana uhalisia.

Ndiyo maana ukiambiwa uthibitishe yupo huwezi.

Unaishia kutapatapa na hoja mufilisi tu. Hoja ambazo tukiziweka katika darubini kali zinaonekana kukosa mashiko.

Habari ya kuwapo huyo Mungu haina tofauti na habari yavm kuwapo James Bond 007.

Wote wawili, Mungu na James Bond 007, ni characters katika hadithi za kutungwa na watu.

Ndiyo maana huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
Dhana nzima ya chanzo kuwa ni kitu cha lazima sio dhana potofu. Kwa sababu kila kitu kina chanzo licha ya Mungu.
Huwezi kutaja kitu ambacho hakina chanzo. Hata wewe una chanzo cha uhai wako japo huwezi thibitisha.

Hata hizo "Quantum Causal Loops" zina nguvu inayoendesha mfumo wa utedaji wake wa kazi. Hizo nguvu zimetoka wapi kama sio Mungu?

Udogo wa mawazo na ukosefu wa elimu, haumzuii mtu kuwa na upana wa maono sahihi na akili pana ya kupambanua jambo. Mawazo na elimu peke yake, havitoshi kukujengea misingi sahihi ya ufahamu wa mambo.

Dhana ya kujua chanzo ni muhimu sana. Hili halina mjadala. Hata ukiyumba kiafya, lazima chanzo chake kichunguzwe unapopata tiba. Kujua chanzo ni lazima.

Tatizo langu sio la kuthibitisha uwepo wa Mungu. Ni tatizo la mfumo kutokuwapo. Wenye elimu wakituwekea, tutathibitisha pia uwepo wake.

Pia sina tatizo la kuthibitisha uwepo wa Mungu. Shida ni mfumo tu. Sioni utata wowote kuthibitisha uwepo wa Mungu. Uwepo wa Mungu hauhitaji kutumia elimu tu, bali pia na akili zako.

Mimi sikengeuki kizembe. Siwezi kusema wewe haupo duniani wakati tunajadiliana. Nikitumia elimu peke yake, wewe haupo kabisa, lakini nikitumia pia akili kidogo tu, namwona Kiranga mbishi huyu hapa. Uwepo wako unatambulika.

Acha ubishi, Mungu yupo.
 
Kila kitu kina chanzo licha ya Mungu au kila kitu kina chanzo?

Kwanza unaelewa kwamba kuna tofauti kati ya kuandika "Kila kitu kina chanzo licha ya Mungu" na kuandika "Licha ya Mungu, kila kitu kina chanzo" ni habari mbili tofauti kabisa?

Kama licha ya Mungu, kila kitu kina chanzo , Mungu hana chanzo, hapo tunaona chanzo si kitu lazima.
Kimsingi unakubaliana nami kwamba chanzo si kitu cha lazima.

Kama kila kitu kina chanzo, hata Mungu, then , huyo Mungu mwenye chanzo si Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote asiye na chanzo, kwa hiyo kimsingi si Mungu, ana siku ya kuanza.

Either way argument zako zina fail.

Ama chanzo ni lazima na hakuna Mungu.

Ama chanzo si lazima, Mungu hana chanzo, na unakubaliana na hoja yangu kwamba chanzo si lazima.

You can't win arguing without contradicting yourself.
 
Nitashukuru kama masahihisho yako ni sahihi. Kiswahili pia kina ugumu wake. Nilimaanisha ni Mungu tu ndiye hana chanzo.

Mungu hana chanzo kwa kuwa yeye ndiye chanzo. Mungu ni asili na asili huwa haitafutwi chanzo. Hivyo sikubaliani na wewe kwamba Mungu ana chanzo.

Umeamdika kuwa hoja zangu zinafeli! Zinafeli vipi wakati zimejipambanua wazi kuwa Mungu yupo? Mara kadhaa nimeelezea changamoto ya kuthibitisha uwepo wa Mungu, lakini umegoma kuelewa.

Pengine huelewi kwa sababu ya kukosa marifaa sahihi ya uelewa wa hoja zangu. Unategeneza sura ya utata ambao haupo. Ukiulizwa thibitisha kuwa Mungu hayupo, unaleta hoja nyingine juu yake ili kusahaulisha swali.

Tatizo lako kubwa ni kwamba hoja unazozitoa sio zako, ni za maarifa ya kufundishwa. Hoja sahihi ni lazima itoke ndani yako, si vinginevyo.

Pia umeamdika kuwa siwezi kushinda kwa kubishana bila kujipinga. Mimi sipo hapo kutafuta ushindi. Nipo hapa kupanua maarifa. Kuna elimu najifunza kutoka kwako. Huenda pia na wewe kuna kitu unajifunza.

Mungu yupo tuache kiburi.
 
Nasikitika sana kuona mtu anatetea fundisho la Utatu jambo ambalo ndani ya biblia halipo.

Upo ushahidi mwingi wa maandiko unaotofautisha Mungu, Yesu Kristo na Roho Takatifu ambayo waamini wa Utatu wanaita Roho Mtakatifu kama vile ni mtu. Je, Mungu anaonekana? Yesu alionekana, hakuna aliemuona Mungu hata Musa mwenyewe.

~ Andiko la Yoh 17:3 lina maana gani? Ikiwa Yesu ni Mungu?

~ Methali 8:30 ina maanisha nini?

~ Mwanzo 1:26 Mungu alikuwa akizungumza na nani?

Ningependa kupata majibu ya maandiko, jibu hoja kwa andiko ili tuamini unachosema. Maandiko yapo mengi sana yanayo tifautisha Mungu, Yesu na roho/nguvu ya Mungu ya utendaji.
Maoni yako
 
Nitashukuru kama masahihisho yako ni sahihi. Kiswahili pia kina ugumu wake. Nilimaanisha ni Mungu tu ndiye hana chanzo.

Mungu hana chanzo kwa kuwa yeye ndiye chanzo. Mungu ni asili na asili huwa haitafutwi chanzo. Hivyo sikubaliani na wewe kwamba Mungu ana chanzo.

Umeamdika kuwa hoja zangu zinafeli! Zinafeli vipi wakati zimejipambanua wazi kuwa Mungu yupo? Mara kadhaa nimeelezea changamoto ya kuthibitisha uwepo wa Mungu, lakini umegoma kuelewa.

Pengine huelewi kwa sababu ya kukosa marifaa sahihi ya uelewa wa hoja zangu. Unategeneza sura ya utata ambao haupo. Ukiulizwa thibitisha kuwa Mungu hayupo, unaleta hoja nyingine juu yake ili kusahaulisha swali.

Tatizo lako kubwa ni kwamba hoja unazozitoa sio zako, ni za maarifa ya kufundishwa. Hoja sahihi ni lazima itoke ndani yako, si vinginevyo.

Pia umeamdika kuwa siwezi kushinda kwa kubishana bila kujipinga. Mimi sipo hapo kutafuta ushindi. Nipo hapa kupanua maarifa. Kuna elimu najifunza kutoka kwako. Huenda pia na wewe kuna kitu unajifunza.

Mungu yupo tuache kiburi.
Unaelewa ukishasema tu Mungu tu ndiye hana chanzo, umeshakubali kwamba chanzo si kitu cha lazima?
 
Mungu ni asili. Licha ya asili, sijakubali kwamba chanzo sio kitu cha lazima.
 
Unazunguka palepale tu, asili ni nini?

Kwa nini unajibu swali la kama chanzo ni au si kitu cha lazima kwa kuweka qualification ya "licha ya..."

Kwa nini hujibu moja kwa moja tu, chanzo ni kitu cha lazima au si kitu cha lazima?
 
Ulitaka niende wapi? Neno "asili" ni neno la kiswahili, ni mzizi wa neno "asilia". Sina shaka unajua maana ya "asilia".

Ulitaka nijibu vipi. Je, imezuiliwa kutumia "licha ya ..." au kuna masahihisho tena?

Hujaelewa nini katika jibu langu? Unataka nijibu unavyotaka? Nikijibu unavyotaka, halitakuwa jibu langu, litakuwa ni jibu lako.

Tuwe na nidhamu, Mungu yupo.
 
Unaelewa nikikuuliza kuwa chanzo ni kitu cha lazima au si kitu cha lazima, ukijibu kwamba chanzo ni kitu cha lazima kwa vingine vyote, ukimuondoa Mungu, ambaye hana mwanzo, ulichojibu hapo kimsingi ni kusema kwamba chanzo si kitu cha lazima?

Yani ni kama nimekuuliza, wilaya ya Ilala inapatikana katika nchi ya Tanzania au haipatikani katika nchi ya Tanzania?

Halafu unanijibu kwamba, ukiutoa mkoa wa Dar es salaam, ulio nchini Tanzania, ambao una wilaya ya Ilala, wilaya ya Ilala haipatikani Tanzania.

Kwa nini unataka kuuondoa mkoa wa Dar es salaam wakati swali langu halijauliza uuondoe mkoa wa Dar es salaam?

Kwa nini unasema "licha ya Mungu" wakati swali langu halikuuliza "licha ya Mungu"?
 
Hilo ndio chaka siku zote hukimbilia kila anaekosa hoja madhubuti kutetea analo dai
kwa taarifa yako wewe na wale ambao wanaodai kua HAKUNA MUNGU hamna hoja yeyote ya KIAKILI kutetea hoja yenu . Why because an understanding capacity of yours is beyond margin line.
Ona ulivyo too low!

Yaani sisi ndio tunadai "HAKUNA MUNGU" au nyinyi ndio mnadai "KUNA MUNGU"?!

Unajua null and altenative hypothesis?

Kiufupi, nyinyi ndio mnatakiwa kuthibitisha "KUNA MUNGU" sio sisi.
 
Back
Top Bottom