Funga mwaka: Ukweli usemwe kuhusu mambo matatu yaliyomshinda Hayati Magufuli

Habari zenu wana JF wenzangu.
Hapo chini ni mambo 10 yaliomshinda raisi Magufuli enzi za uhai wake.

1) Alishindwa kuwa mnafiki
2) Alishindwa kushirikiana na mabeberu walioinyonya nchi yetu
3) Alishindwa kuwasujudia wazungu waliojifanya kutupa misaada mbali mbali ili aruhusu ndoa za jinsia moja nk.

Nimalizie kwa kumpongeza mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kwa kumtembelea raisi wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia S Hassan kwa mara ya tatu mfululizo kwa lengo la kulamba asali kimya kimya [emoji219]

Ndugu mwana JF tambua kwamba ulambaji wa asali ni mzuri kwa afya yako [emoji23][emoji1787][emoji1787]
Huna akili ? Mbona unaficha uporaji aliofanya Magufuli kwa Wafanyabiashara Wazalendo ?
 
Hivi ulimwambia mwamba kama shetani hana rafiki au umehofi kumwambia ili usipoteze kibarua chako? Maana hii inakuwa mara ya tatu sasa anakwenda kulamba asali bila kujali comment yako uliyoandika kipindi kile alichokwenda mara ya pili.
 
Attachments

  • Screenshot_20221231-231405.jpg
    Screenshot_20221231-231405.jpg
    51 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220520-163943.jpg
    Screenshot_20220520-163943.jpg
    57.1 KB · Views: 3
Hivi ulimwambia mwamba kama shetani hana rafiki au umehofi kumwambia ili usipoteze kibarua chako? Maana hii inakuwa mara ya tatu sasa anakwenda kulamba asali bila kujali comment yako uliyoandika kipindi kile alichokwenda mara ya pili.
Katiba mpya itakimbiza nyie vikaragosi wote , ni kweli Shetani hana rafiki , lakini chadema haina urafiki na shetani
 
Habari zenu wana JF wenzangu.
Hapo chini ni mambo 10 yaliomshinda raisi Magufuli enzi za uhai wake.

1) Alishindwa kuwa mnafiki
2) Alishindwa kushirikiana na mabeberu walioinyonya nchi yetu
3) Alishindwa kuwasujudia wazungu waliojifanya kutupa misaada mbali mbali ili aruhusu ndoa za jinsia moja nk.

Nimalizie kwa kumpongeza mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kwa kumtembelea raisi wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia S Hassan kwa mara ya tatu mfululizo kwa lengo la kulamba asali kimya kimya 🐝

Ndugu mwana JF tambua kwamba ulambaji wa asali ni mzuri kwa afya yako 😂🤣🤣
🚮
 
Habari zenu wana JF wenzangu.
Hapo chini ni mambo 10 yaliomshinda raisi Magufuli enzi za uhai wake.

1) Alishindwa kuwa mnafiki
2) Alishindwa kushirikiana na mabeberu walioinyonya nchi yetu
3) Alishindwa kuwasujudia wazungu waliojifanya kutupa misaada mbali mbali ili aruhusu ndoa za jinsia moja nk.
Alishindwa kuwasujudia wastaafu wanafiki
 
Habari zenu wana JF wenzangu.
Hapo chini ni mambo 10 yaliomshinda raisi Magufuli enzi za uhai wake.

1) Alishindwa kuwa mnafiki
2) Alishindwa kushirikiana na mabeberu walioinyonya nchi yetu
3) Alishindwa kuwasujudia wazungu waliojifanya kutupa misaada mbali mbali ili aruhusu ndoa za jinsia moja nk.

Nimalizie kwa kumpongeza mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kwa kumtembelea raisi wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia S Hassan kwa mara ya tatu mfululizo kwa lengo la kulamba asali kimya kimya [emoji219]

Ndugu mwana JF tambua kwamba ulambaji wa asali ni mzuri kwa afya yako [emoji23][emoji1787][emoji1787]
WIVU WIVU WIVU UTAKUFA BILA KUGUSA KUTA ZA IKULU
 
Back
Top Bottom