Fungate (Honeymoon) ni kwa mwanamke uliyemkuta Bikira. Nje ya hapo ni bosheni. Hakuna chafungate hapo Bro

Nina rafiki yangu kafanikiwa sana kiuchumi na maarufu kiasi ila post zake mtandaoni ni kumkandia aliyekuwa mpenzi wake. Huyo dada kaolewa na jamaa wa kawaida sana kiuchumi yaani maisha bado hayajakaa sawa kifedha na yuko zake kimya na mumewe. Tinaomjua jamaa tunajua alimpenda sana bibie ila bibie hakuwa akimpenda na kuamua kusitisha mahusiano.

Inawezekana mwanaJF Robert Mtibeli anapitia hali kama ya rafiki yangu. Mtibeli nakushauri usiweke vinyongo. Kubali kuwa maishani kuna kuacha, kuachwa na kuachana.
 
Kisa kumpiga TU chini anakuja Hadi kulia humu jf ,
Mwanaume ana ubahili wa kipare ,
Nimekimbia mapema sana ,maana ningepauka kama yeye dada
Kunywa maji kwanza mamii ๐Ÿฅƒ
Pole kwa mikopo ya kausha damu mahi
Pole kwa kufanyiwa gubu
Pole kwa kupaushwa kama kitenge cha balozi wa nyumba kumi..!!

Haya endelea sasa kutoa dukuduku lako ๐Ÿ˜น
 
Mbona umetembezewa vibuti vingi na wadada wa JF ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Aisee , unakumbuka mwaka Jana ulivyokuja Arusha , ukaniomba sana nisikuache, ulivoondoka TU unajua Nini kikiendelea Mzee?
Kumbe akiwa nje ya keyboard analilia kitomboua ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Mtibeli nyoko kweli, huku anawafundisha wenzie wakaze kumbe pemebeni analia kama mtoto..!!
 
Kayataka mwenyewe huyo, kwanini aje kumnanga jamaa yangu humu jf ,? Kisa kumtumia picha za fungate.
Ajaribu kutulia na kukubakiana na hali halisi
Nasemajeeee
Nasemajeeee

Bushmamy nna ticket yako ya kwa Fally tar 28 twende ukajipongeze..!!

Wanawake wengine muige sasa sio mnadhalilishwa mnakaa kama mazombie mnalialia..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Rafiki yako wapi?
Si useme ni wewe tu!
Hakuna wa kukuchapa hapa..!.! ๐Ÿ˜น
 
Please mimi wewe ntakukausha damu na maji.

Na ule ugonjwa wangu wa kupenda hela sasa halafu wewe na hizo torati zako ndio kabisa chui na paka.
Huko chobingo pistol hazitosaidia tutatiana viberiti wakute majivu tu.
Mwenzako anakupa moyo we wataka sifuri nyingi
 
Vitu nivipendavyo ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Kumbe malalamiko yote ulimtosa huyo boya wa utebelini..!!

Kwahiyo ana kidole cha mtoto hakigusi kuta za kitumbua vizuri? ๐Ÿ˜น
Lamony anapenda mituringa iguse kuta za kitumbuani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ