Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Wewe tena...!!Jicho la tatu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe tena...!!Jicho la tatu!
so wazungu waifungua mpaka shule za madrasa,,,manake madrsa pia wanasoma na kuandika!!!.....so wazungu walikua wanajua kuandika kiarabu!!,,,na kama wazungu walikuwa wanataka tuwe na elimu??? mbona walikuwa wanasema elimu zetu ni za kishenzi wakati huohuo waniba mabo yetu ya kihstoria??.......we ishomile,,kwa nini wazungu walimkata kichwa mkwawa na kuondoka nacho na kukihifadhi?????"kwa sababu walijua anaakili nyingi sana mpaka kuoganize vita dhidi ya wajerumani"...kwa nini walisema dawa ztu na mila zetu ni za kishenzi wakti jana tu kwenye mitandao ya kijamii uingereza wametangaza wanafungua chuo kikuu cha uchawi??{sio uchawi unaofundishwa pale mzee ni kile walichotuibia toka kwa babu zetu,,,elimuadhimu""""acha kula makongoro na bia mzee ishomile!!!Bro Fungua Jicho la Tatu acha kukurupuka au kuangaika kama maharagwe yanayochemka. Pitia tena
Ukisoma ujumbe huo vizuri ninamanisha kuwa waarabu wao walikuwa wanaunua watumwa na kuwauza kwa wazungu... Yani ni kama vile unavyochuuza nyanya kutoka kwa waauzaji wadogo wadogo akafu wewe unaenda kuuza kiwandani. Wazungu ndio wakawa wanawanunua hao watumwa na kuwapeleka kwenye mashamba yao au viwanda vyao ambapo baadae mzungu akaanza kuacha kununua watumwa na kuanza kuwafundisha shule
Wazungu ndio watu waliofungua shule barani afrika huku waarabu wao wakijikita na umwinyi kwa kuwafanyisha waafrika kazi kwenye biashara zao za maduka na za mashambani.
Ndio maana shule za wazungu kwenye nchi nyingi za Afrika ni nyingi kuliko shule za waarabu.
Ukienda huko Jamaica, Cuba, Haiti na nchi za carrebean utakuata wazungu baada ya utumwa wakanza kufungua shule hasa za Seminari lengo likiwa ni kutoa Elimu kwa watu weusi
Acha kukurupuka FUNGUA JICHO LA TATU
Nimimi ndio!Wewe tena...!!
Haya bana..🤓🤓Nimimi ndio!
KaribuHahahaaa!
✌️✌️✌️✌️✌️!Karibu
Madarasa sio mfumo rasmi wa Elimu ya Dunia, madarasa zinahusu Elimu ya kiislamu... Kwani uliwahi kuona madarasa anaenda mtu mwingine tofauti na muislamu... Elimu ninayoizungumzia hapa ni Elimu ya Dunia... Wazungu wamejenga sana shule afrika na maeneo mbalimbali ya Dunia... Na mpaka walikuwa wanachukua watoto kwenda nao kuwasomesha ughaibuni. Lini umewahi kusikia muarabu kafungua shule na akachukua watu kwenda kuwasomesha... Zunguka kote Tanzania ni zimejaa shule za wazungu tena nyingine mpaka zinatumia mitihani ya uingereza na kuna mahospitali ya wazungu... Muarabu gani kafanya hayo Africa?so wazungu waifungua mpaka shule za madrasa,,,manake madrsa pia wanasoma na kuandika!!!.....so wazungu walikua wanajua kuandika kiarabu!!,,,na kama wazungu walikuwa wanataka tuwe na elimu??? mbona walikuwa wanasema elimu zetu ni za kishenzi wakati huohuo waniba mabo yetu ya kihstoria??.......we ishomile,,kwa nini wazungu walimkata kichwa mkwawa na kuondoka nacho na kukihifadhi?????"kwa sababu walijua anaakili nyingi sana mpaka kuoganize vita dhidi ya wajerumani"...kwa nini walisema dawa ztu na mila zetu ni za kishenzi wakti jana tu kwenye mitandao ya kijamii uingereza wametangaza wanafungua chuo kikuu cha uchawi??{sio uchawi unaofundishwa pale mzee ni kile walichotuibia toka kwa babu zetu,,,elimuadhimu""""acha kula makongoro na bia mzee ishomile!!!
kale urojo na gahwa nakuja lipaWaarabu Wana mfumo wao wa elimu kupitia dini imekamilisha kila kitu kuhusu maisha thus Muislam haitaji kukaa darasani ili aje awe tajiri,kiasili waarabu waislam ni wachakarikaji kupitia biashara ujasiliamali walianza kitambo sana.
Huu mfumo wa elimu wa chekechekea msingi secondary hadi chuo then ajira ndipo ufanikiwe maisha ni mfumo wa Kikristo wenye asili yake ulaya.
Hii mifumo miwili ndio imeleta tofaut ya uchumi kati ya waislam na Wakristo thus unakuta kwenye ajira Wakristo ni wengi kwenye biashara waislam ni wengi.
Waislam kwa wingi ndio wanaomiliki viwanda, mahotelini,mighahawa, malori, mabus,daladala,maduka,vibanda sokoni,frem, maghorofa nk nchini
aahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!! mtafuni ngisi na pweza broooooooooooo!!Mkuu jicho la tatu lako ulifunguwa mwenyewe au ulifunguliwa kama bado njoo mafia nikufunguwe & karibu mafia
Kwenye Media utalishwa matango pori bure... Wewe unahisi matajiri wanakesha na hizo Media, ndio maana wazungu wanatabia ya kusafiri ya kujua Dunia na siri zake... Wakitaka kupanda mlima Kilimanjaro hawaingii YouTube kuutizama, wanasafiri kuupanda... Experience unaipata kwa kuona kwa macho, kujifunza kwa kuona kwa macho...Sio lazima uwe na pesa ndipo uzijue Siri za Dunia bali ni wewe tu shauku yako ya kutaka kujua utayajua kila kitu kipo wazi elimu zote zipo wazi kupitia media.
Zamani ilikua ni giza kuzijua Siri za wachawi tofaut na sasa ambapo watu uziongea wazi wazi zamani ukitoa Siri za wachawi,au freemason unauwa siku hizi hawana uwezo wa kuzibiti Siri zao watu wasizijue sababu ya technology.
True... Hata media zao kuna habari nyingine hazitangazwi, zinafichwa tu.wZungu ni WA wazi kuliko waarabu lakini uarabuni Kuna uchafu mwingi wa mambo hayo kuliko hata kwa hao wazungu.
Sababu ya sheria za dini zinazoongoza nchi zao lakini chini ya kapeti yanaendelea sirini.