Fungua jicho la tatu

Fungua jicho la tatu

Sijasoma.
Ila kiufupi mambo ya kufungua jicho la tatu hapana 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Kwanini tufungue alafu iweje. tukashindwa kufunga...
 
Bro Fungua Jicho la Tatu acha kukurupuka au kuangaika kama maharagwe yanayochemka. Pitia tena

Ukisoma ujumbe huo vizuri ninamanisha kuwa waarabu wao walikuwa wanaunua watumwa na kuwauza kwa wazungu... Yani ni kama vile unavyochuuza nyanya kutoka kwa waauzaji wadogo wadogo akafu wewe unaenda kuuza kiwandani. Wazungu ndio wakawa wanawanunua hao watumwa na kuwapeleka kwenye mashamba yao au viwanda vyao ambapo baadae mzungu akaanza kuacha kununua watumwa na kuanza kuwafundisha shule

Wazungu ndio watu waliofungua shule barani afrika huku waarabu wao wakijikita na umwinyi kwa kuwafanyisha waafrika kazi kwenye biashara zao za maduka na za mashambani.

Ndio maana shule za wazungu kwenye nchi nyingi za Afrika ni nyingi kuliko shule za waarabu.

Ukienda huko Jamaica, Cuba, Haiti na nchi za carrebean utakuata wazungu baada ya utumwa wakanza kufungua shule hasa za Seminari lengo likiwa ni kutoa Elimu kwa watu weusi

Acha kukurupuka FUNGUA JICHO LA TATU
so wazungu waifungua mpaka shule za madrasa,,,manake madrsa pia wanasoma na kuandika!!!.....so wazungu walikua wanajua kuandika kiarabu!!,,,na kama wazungu walikuwa wanataka tuwe na elimu??? mbona walikuwa wanasema elimu zetu ni za kishenzi wakati huohuo waniba mabo yetu ya kihstoria??.......we ishomile,,kwa nini wazungu walimkata kichwa mkwawa na kuondoka nacho na kukihifadhi?????"kwa sababu walijua anaakili nyingi sana mpaka kuoganize vita dhidi ya wajerumani"...kwa nini walisema dawa ztu na mila zetu ni za kishenzi wakti jana tu kwenye mitandao ya kijamii uingereza wametangaza wanafungua chuo kikuu cha uchawi??{sio uchawi unaofundishwa pale mzee ni kile walichotuibia toka kwa babu zetu,,,elimuadhimu""""acha kula makongoro na bia mzee ishomile!!!
 
Sio lazima uwe na pesa ndipo uzijue Siri za Dunia bali ni wewe tu shauku yako ya kutaka kujua utayajua kila kitu kipo wazi elimu zote zipo wazi kupitia media.
Zamani ilikua ni giza kuzijua Siri za wachawi tofaut na sasa ambapo watu uziongea wazi wazi zamani ukitoa Siri za wachawi,au freemason unauwa siku hizi hawana uwezo wa kuzibiti Siri zao watu wasizijue sababu ya technology.
 
wZungu ni WA wazi kuliko waarabu lakini uarabuni Kuna uchafu mwingi wa mambo hayo kuliko hata kwa hao wazungu.
Sababu ya sheria za dini zinazoongoza nchi zao lakini chini ya kapeti yanaendelea sirini.
 
Hakuna mzungu anamzuia mwafrika asiendelee kutokuendelea kwetu ni matokeo ya asili ya malezi yetu ikiwemo mazingira pia.
Still maisha Sio complicated sana Africa thus unaweza kula bila kazi yakikushinda mjini unakimbilia shamba huko vitu vingi ni bure kwa maana inahitajika matumizi ya nguvu zaidi kuliko akili ili uwe kuishi Kuni bure ingia porini,maji bure mtoni kisimani vyakula tele umelima au omba kwa jirani tofaut na ulaya miguu na mikono yako ndio shibe yako hakuna mjomba ulaya kwa mtu mvivu.
 
Kulichowafanya waarabu wangepende michezo hio ya kugeuza tofali juu.
Zaman kabla ya kuongezeka kwa maasi wanawake wakitakiwa kukaa ndani ilikua ni lazima binti aolewe bikra kwa uthibitisho wa ndugu wa pande zote mbili mashangazi siku ya harusi yake ikibainika Sio bikira sheria zao adhabu yake ni kifo,jamii zingine atalazimishwa amtaje muhusika na kulazimishwa kuolewa nae asili ya ndoa za mkeka,jamii zingine ilikua binti anakatwa kidole Cha mwisho Cha kushoto na mwanaume aliyefanya mchezo huo ukatwa Ili iwe fundisho kwa wengine.
So mabinti walilinda bikira zao kwa heshima ya familia zao aliyebikira alitolewa mahari nyingi sana pia heshima, wengine waliogopa kuuwawa,kukatwa vidole,nk.
So Ili kuepa sheria na kulinda heshima mabinti walibuni kilimo Cha kugeuza udongo juu ndio asili ya michezo hio kwa wanawake ilivyoanza,ikaenea Hadi kwa wanaume kulingana na mazingira wapo waliowadhulumu watoto au vijana wadogo wa kiume.
Michezo yote hii ilifanywa na ndugu kumbuka waarabu wanaishi kiukoo zaidi.
 
Waarabu Wana mfumo wao wa elimu kupitia dini imekamilisha kila kitu kuhusu maisha thus Muislam haitaji kukaa darasani ili aje awe tajiri,kiasili waarabu waislam ni wachakarikaji kupitia biashara ujasiliamali walianza kitambo sana.
Huu mfumo wa elimu wa chekechekea msingi secondary hadi chuo then ajira ndipo ufanikiwe maisha ni mfumo wa Kikristo wenye asili yake ulaya.
Hii mifumo miwili ndio imeleta tofaut ya uchumi kati ya waislam na Wakristo thus unakuta kwenye ajira Wakristo ni wengi kwenye biashara waislam ni wengi.
Waislam kwa wingi ndio wanaomiliki viwanda, mahotelini,mighahawa, malori, mabus,daladala,maduka,vibanda sokoni,frem, maghorofa nk nchini
 
Mkuu jicho la tatu lako ulifunguwa mwenyewe au ulifunguliwa kama bado njoo mafia nikufunguwe & karibu mafia
 
so wazungu waifungua mpaka shule za madrasa,,,manake madrsa pia wanasoma na kuandika!!!.....so wazungu walikua wanajua kuandika kiarabu!!,,,na kama wazungu walikuwa wanataka tuwe na elimu??? mbona walikuwa wanasema elimu zetu ni za kishenzi wakati huohuo waniba mabo yetu ya kihstoria??.......we ishomile,,kwa nini wazungu walimkata kichwa mkwawa na kuondoka nacho na kukihifadhi?????"kwa sababu walijua anaakili nyingi sana mpaka kuoganize vita dhidi ya wajerumani"...kwa nini walisema dawa ztu na mila zetu ni za kishenzi wakti jana tu kwenye mitandao ya kijamii uingereza wametangaza wanafungua chuo kikuu cha uchawi??{sio uchawi unaofundishwa pale mzee ni kile walichotuibia toka kwa babu zetu,,,elimuadhimu""""acha kula makongoro na bia mzee ishomile!!!
Madarasa sio mfumo rasmi wa Elimu ya Dunia, madarasa zinahusu Elimu ya kiislamu... Kwani uliwahi kuona madarasa anaenda mtu mwingine tofauti na muislamu... Elimu ninayoizungumzia hapa ni Elimu ya Dunia... Wazungu wamejenga sana shule afrika na maeneo mbalimbali ya Dunia... Na mpaka walikuwa wanachukua watoto kwenda nao kuwasomesha ughaibuni. Lini umewahi kusikia muarabu kafungua shule na akachukua watu kwenda kuwasomesha... Zunguka kote Tanzania ni zimejaa shule za wazungu tena nyingine mpaka zinatumia mitihani ya uingereza na kuna mahospitali ya wazungu... Muarabu gani kafanya hayo Africa?

Kuondoka na kichwa cha mkwawa sio kwa sababu alikuwa ana Akili, sababu ya kuchukua kichwa ni kama uthibitisho kwenda kumuonesha kansela kuwa yule mtu msumbufu tumemuua, na kichwa chake kikatunzwa kama historia kwamba aliwasumbua, sio mkawa tu hata Patrice Lumumba walimng'oa jino, kwa hiyo utasema walichukua jino kwa sababu ya Akili? Utamaduni wa kuchukuwa kichwa au kiungo cha mwili ni utamaduni wa kale wa wazungu, walikuwa wakienda kuwinda wanyama wanachukua vichwa vyao na kurudi navyo nyumbani kama uthibitisho wamemuua huyo mnyama "Hunting Trophy"

Wewe unachokizungumza ukijui kaa kimya
 
Waarabu Wana mfumo wao wa elimu kupitia dini imekamilisha kila kitu kuhusu maisha thus Muislam haitaji kukaa darasani ili aje awe tajiri,kiasili waarabu waislam ni wachakarikaji kupitia biashara ujasiliamali walianza kitambo sana.
Huu mfumo wa elimu wa chekechekea msingi secondary hadi chuo then ajira ndipo ufanikiwe maisha ni mfumo wa Kikristo wenye asili yake ulaya.
Hii mifumo miwili ndio imeleta tofaut ya uchumi kati ya waislam na Wakristo thus unakuta kwenye ajira Wakristo ni wengi kwenye biashara waislam ni wengi.
Waislam kwa wingi ndio wanaomiliki viwanda, mahotelini,mighahawa, malori, mabus,daladala,maduka,vibanda sokoni,frem, maghorofa nk nchini
kale urojo na gahwa nakuja lipa
 
Mkuu jicho la tatu lako ulifunguwa mwenyewe au ulifunguliwa kama bado njoo mafia nikufunguwe & karibu mafia
aahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!! mtafuni ngisi na pweza broooooooooooo!!
 
Sio lazima uwe na pesa ndipo uzijue Siri za Dunia bali ni wewe tu shauku yako ya kutaka kujua utayajua kila kitu kipo wazi elimu zote zipo wazi kupitia media.
Zamani ilikua ni giza kuzijua Siri za wachawi tofaut na sasa ambapo watu uziongea wazi wazi zamani ukitoa Siri za wachawi,au freemason unauwa siku hizi hawana uwezo wa kuzibiti Siri zao watu wasizijue sababu ya technology.
Kwenye Media utalishwa matango pori bure... Wewe unahisi matajiri wanakesha na hizo Media, ndio maana wazungu wanatabia ya kusafiri ya kujua Dunia na siri zake... Wakitaka kupanda mlima Kilimanjaro hawaingii YouTube kuutizama, wanasafiri kuupanda... Experience unaipata kwa kuona kwa macho, kujifunza kwa kuona kwa macho...

Illuminati hawawezi kukufata wewe ambae huna chochote, wenzako wanafata watu wenye nguvu kipesa na ukiwa na pesa automatically unakuwa na nguvu ya ushawishi. Diamond Platnumz ananguvu kubwa ya ushawishi kuliko Juma Nature... Wewe unahisi kati ya Diamond na Juma Nature nani anajua siri za ulimwenguni wa kimziki kuliko mwenzake?

Siri utakazozijua ni zile siri ambao wao wametaka uzisikie... Media hizi ziko controlled, wanakupangia mahudhui yapi uyaone kwanza na yapi husiyaone... Na media nyingi ndogo ndogo zinatoa habari kwa kuiga media kubwa ambao ni za kwao
 
wZungu ni WA wazi kuliko waarabu lakini uarabuni Kuna uchafu mwingi wa mambo hayo kuliko hata kwa hao wazungu.
Sababu ya sheria za dini zinazoongoza nchi zao lakini chini ya kapeti yanaendelea sirini.
True... Hata media zao kuna habari nyingine hazitangazwi, zinafichwa tu.
 
Chuki dhidi ya wailsamu unatoa mifano ya uongo kabisa ili iweje?

Juzi ulisema unafanya kazi na watu wengi ,ila wa Tanga tu ndio wavivu 😅😅.

Punguza chuki hamna cha maana ulivyoandika ,waislamu hata wasome wanaishi maisha ya kawaida wala sio watu kuongea kingereza kila mara.
 
Back
Top Bottom