ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Ndio kuna kale kajimsemo kinachosema, "Ukiwa unaendesha gari kongwe basi mpe lift kila unayemuona njiani"Tatizo lenu nyie mnaojiita wasomi, huwa mnadharau Sana wajumbe huko mtaaniView attachment 1517351
Nilikuwa naisikiaga tu kula kuku kwa mrija, leo ndio nimeiona. AhsanteWajumbe: MKONO MTUPU HAULAMBWI[emoji28]View attachment 1517365
Kwamba jamaa alitakiwa kutolewa ukumbini kwa makofi na mieleka kabisa au??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Binafsi sijapendezwa na huu mstari "Diwani aliyekuwa akitetea kiti hana siasa zenye manufaa hata kidogo,kwa ufupi tu ni mzee,ameishia darasa la 4,si mzawa wa ile kata na mpaka sasa aslimia 80 ya shughuli na makazi yake yapo nje ya kata yetu".
Hiyo ni sawa na unamtongoza binti na kwakua unamfahamu bwana wake, basi unaanza kumpondea kwa binti.
Yaani kwa aina hiyo ya kampeni, hata hiyo kura 0 walikupendelea na ilitakiwa uambiwe kura zako ni zile zilizo haribika.
Aliyeongoza Wanging'ombe ni ENOCK KISWAGA, nimepata fununu hizo kwamba katoa rushwa na eti mbunge aliyekuwa akitetea nafasi bwana Lwenge amemkatia rufaa,ukweli ni kwamba hata yeye Lengwe amemwaga Sana hela lakini kazidiwa kete,lakini ndo hivyo mwizi akiibiwa basi mtaa mzima utajua.Mkuu nasikia kuna dogo anafanya kazi Ikulu na ni rafiki yake msigwa msemaji wa Ikulu ndio ameongoza kura za maoni huko kwenye Jimbo lenu la Wangingombe nae katoa rushwa??
Sundi + Kivuko etc?Hakubaliani na rushwa kisha hakuna mtu mahakamani? Takukuru ni magereza mpaka watu wawe mikononi mwao? Huko kwenye kamati kuu wataenguliwa kina team Membe, na wale ambao hawatakuwa sehemu ya ajenda ya kumuongezea rais muda wa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10.
Hongera sana kwa kujifunza siasa kwa vitendo. Next time wewe panda dau zaidi ya wote. It is not rocket science kwani hii ndio modus operandi ya CCM kuanzia kwenye ngazi ya Ubalozi.Sijavunjika Sana moyo na sirudi nyuma,dhamira ya kuwatumikia wananchi bado ipo hata kwa awamu nyingine huku nikisahihisha makosa yaliyonigharimu awamu hii,nitamuunga mkono yeyote atakayeteuliwa na chama,Wala sihami chama.
Nikuulize wewe maana utakua unajua hebu tambie walimpa kiasi gani?Kamuulize Mzee wa K-vant kapewa kiasi gani cha fedha na Nyalandu.
alafu pia akwambie na kiasi cha fedha alichopewa na Edlow 2015.
Ahsante mkuu, nimejifunza kwa vitendo,na salary nimepata.Hongera sana kwa kujifunza siasa kwa vitendo. Next time wewe panda dau zaidi ya wote. It is not rocket science kwani hii ndio modus operandi ya CCM kuanzia kwenye ngazi ya Ubalozi.
Sasa wewe unaishi town unakula bata na unataka uibukue tu kule kupewa kura na wajumbe dakika za mwisho, tena ukiwa na kichwa chako tu? Pole na hongera. I hope salary yako ya July nayo haijapigwa spanner.
Walimpa kiasi cha kutosha kuondoa makengeza.Nikuulize wewe maana utakua unajua hebu tambie walimpa kiasi gani?
Maana kila mtu anajua jinsi ubunge na udiwani huupati bila kutoa rushwa ndani ya CCM.
Mwakyembe kachezea wanyaki wa Kyela hawataki dharauTatizo lenu nyie mnaojiita wasomi, huwa mnadharau Sana wajumbe huko mtaaniView attachment 1517351
Tatizo jingine wanaotoa mapendekezo ya sheria pamoja na kura za kuipitisha hiyo katiba mpya 95% hawajaingia kwa njia halali.. usitegemee kama watajichinja hata siku moja..Kikubwa pambana na maisha yako! Pambana na hali yako!Hongera mkuu CCM yote inanuka rushwa na hivyo maendeleo ya nchi hii tutasikia Kenya tunasema kila siku angalau tupunguze huu utopolo lazima tuwe na katiba mpya ambayo itaweka misingi ya maendeleo kuanzia kwenye serikali,mahakama,pamoja na bunge ,sasa wewe fikiria wabunge 300 wamehonga wajumbe ili wapate ubunge hivi tunakwenda wapi kama taifa? Hongera kwa kujaribu
Kiasi gani hicho ambacho hakida idadi..Walimpa kiasi cha kutosha kuondoa makengeza.
Hahahaaaaaaa, umeua kabisa mkuu.Zifahamu Lugha na kauli za Wajumbe
"tupo pamoja" "tupo nyuma yako" "unakubalika sana" "umeeleweka sana" "sifa zako zilitangulia kabla yako hata huna sababu ya kuongea nasi" "wewe ni jembe", "wapinzani wako wanataka kupima kina cha maji kwa miguu miwili", "Wee mtu wetu sana tena wa nyumbani kabisaa", "mzawa"... "marehemu Babaako tumeishi nae vizuri sana kipindi yupo hai"..."wee ndio chagua letu", "Wewe ni mtu wa watu".. "Huna makuu".. "Usihofu".. "Tunasimama na wewe",.. "wewe ndo mtu wetu hatutaki mwingine.."
Hahahaha Hahahaha tatizo ulihama upinzani wakakushtukia tena wanaamini vijana wote wapo upinzaniHahaaaaa,Kama inanihusu mimi vile mkuu,kweli kabisa kina mjumbe alikuwa kwenye foleni tukawa tunachekeana huku moyoni nikichekelea kuwa hapo nishapata kura kumbe,ngoja nibaki kuvunjika mbavu mkuu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mapambano yanaendelea.Hahahaha Hahahaha tatizo ulihama upinzani wakakushtukia tena wanaamini vijana wote wapo upinzani
Na cha nne ni uchawi hasa ukiwa CCM.....
FUNZO NILILOLIPATA
1. Katika kugombea kitu Cha kwanza ni MTAJI WA FEDHA KWA AJILI YA RUSHWA.
2. Jambo la pili ni UNAFIKI.
3. CV ni na ukweli ni Jambo la ziada tu.
....