Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

Mtoto wa Dada huyooo file lake wanalo....enzi za mjomba amesumbua sana vyombo vya dola.....wanamjua pia ana ukwasi mkubwa sanaaa....alivyopata ni zile task force za viwanndaniii....huyo mkemia...aliwekwa task force......ni wale wale
 
Najaribu ku-connect dots,huyu ndie alimshindaga Gwajima kwny uchaguzi wa ndani ya chama(Kawe) ingawa mjomba wake alimkata(Magu) akampa Gwajima.Je huyu ndiye aliyesambaaza connection ya Gwaji boy enzi zile?
Mwenyewe nimewaza hilo, nakumbuka Gwajima kwenye kujitetea kwake alisema ni watu wanamchafua kwa kuwa kuna uchaguzi unakuja
 
Alikuwa chama gani?
Dah, kukatwa na Magufuli, itakuwa ni mtu wa CCM huyo. Hiyo ni sampuli ndogo tu ya watu waliomo ndani ya chama hicho enzi hizi.
Ni mpwa wa Magufuli alishinda Kura za maoni jimbo la Kawe Kwa support ya Magufuli halafu Magufuli huyohuyo Kwenye vikao vya juu akamchangia akamchagua Gwajima .
Yaani kichaa Magufuli aliifanya hii nchi kama mali yake binafsi
 

View: https://www.youtube.com/live/Xtub6JDRyAM?si=p1SkFfvdn0uxxBqe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…