Furaha Dominic: Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa kundi linalomkwamisha Rais Samia

The Khoisan

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2007
Posts
16,434
Reaction score
14,547
Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham.

Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana, amedanganya kufufua watu. Amedanganya kuleta train za umeme n.k. n.k.

Ila kwa jinsi tunavyomjua Gwajima, huyu dogo ajiandae kwa majibu yake Jumapili.

NB. Kuna mambo ambayo Dogo amezungumzia kuhusu Kupe ambayo siyo rahisi kuyazungumza mbele ya wanafamilia. Pia sidhani kama Dogo alikuwa anaishi Magogoni.
 
Last edited:
amemchanachana Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO.
kuna shemeji yangu alinishuhudia siku moja mambo ambayo alifanya Kanisani kwa Gwajima yanasikitisha na kuogopesha;
1. Kwa ujira wa TZS 80,000 by then aliunganishiwa na mtu mwingine kuwa anaenda kwa Gwajima anajifanya kutoa ushuhuda wa jambo fulani ambalo lilikuwa ni changamoto kwake, anashuhudia mbele ya madhabahu wakati ni uongo baadae akimaliza anapokea mpunga wake fresh anakwenda kula K vant zile za wakati ule.

2. Jumapili ingine ana appear different kabisa mfano anaweza pakwa foundations/Makeup zile wanawake nanapakaga anaonekana sura tofauti lkn same same anashuuhudia uongo na waumini wanamwamini as the results wanaongeza trust kwa Gway Boy.....

Huyo ndo Gwaji Boy, ayayejiita Mtumishi, wa Mungu na hayo ndio matendo yake........

Concl:
Kama ameweza kudanganya mbele ya madhabahu, je kudanganya kwenye majukwaa ya Siasa ni kitu gani?
 
Dogo naona baada ya watu kukudiss Sana. Umeachana na utaratibu wa kuandika namba za simu KWENYE Uzi.

Sahivi unajitengenezea uzi Kisha unajiongelea mwenyewe kwa I'd nyingine tofauti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kuna shemeji yangu alinishuhudia siku moja mambo ambayo alifanya Kanisani kwa Gwajima yanasikitisha na kuogopesha;
1. Kwa ujira wa TZS 80,000 by then aliunganishiwa na mtu mwingine kuwa anaenda kwa Gwajima anajifanya kutoa ushuhuda wa jambo fulani ambalo lilikuwa ji changamoto kwake, anashuhudia mbele ya madhabahu wakati ni uongo baadae akimaliza anapokea mpunga wake fresh anakwenda kula K vant zile za wakati ule.

2. J2 ingine ana appear different kabisa mfano anaweza pakwa foundations/Makeup zile wanawake nanapakaga anaonekana sura tofauti lkn same same anasguhudia uongo na waumini wanamwamini as the results wanaongeza trust kwa Gway Boy.....

Huyo ndo Gwaji Boy, mtumishi, na hayo ndio matendo yake........

Concl:
Kama ameweza kudanganya mbele ya madhabahu, je udanganya kwenye jukwaa la Siasa ni kitu gani?
Acha uongo kanisani kwa Gwajima hakuna kitu kinaitwa kutoa ushuhuda uwe unafanya uchunguzi kabla ya kuja kuongopa hapa

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
kuna shemeji yangu alinishuhudia siku moja mambo ambayo alifanya Kanisani kwa Gwajima yanasikitisha na kuogopesha;
1. Kwa ujira wa TZS 80,000 by then aliunganishiwa na mtu mwingine kuwa anaenda kwa Gwajima anajifanya kutoa ushuhuda wa jambo fulani ambalo lilikuwa ji changamoto kwake, anashuhudia mbele ya madhabahu wakati ni uongo baadae akimaliza anapokea mpunga wake fresh anakwenda kula K vant zile za wakati ule.

2. J2 ingine ana appear different kabisa mfano anaweza pakwa foundations/Makeup zile wanawake nanapakaga anaonekana sura tofauti lkn same same anasguhudia uongo na waumini wanamwamini as the results wanaongeza trust kwa Gway Boy.....

Huyo ndo Gwaji Boy, mtumishi, na hayo ndio matendo yake........

Concl:
Kama ameweza kudanganya mbele ya madhabahu, je udanganya kwenye jukwaa la Siasa ni kitu gani?
Ukweli utadhihirika tuu na ushaanza kudhihirika kua ipi ni dini ya kweli

Endeleeni kuwatajirisha hao manabii feki huku nyie mkifa njaa
 
Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham.

Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana, amedanganya kufufua watu. Amedanganya kuleta train za umeme n.k. n.k.

Ila kwa jinsi tunavyomjua Gwajima, huyu dogo ajiandae kwa majibu yake Jumapili.
Dogo ana wivu, hasira na majuto yanayompelekea amchukie Gwajima bila sababu anatakiwa kujiuliza Gwajima alimaliza namba 4 ilikuwaje waache hao wengine apitishwe namba 4.

Gwajima alishindwa kura za maoni ila akarudishwa na CC ya Chama hivyo alitakiwa kuolaumu CC ya chama sio Gwajima.

Anasema yeye alienda kumuomba Gwajima msaada na Gwajima akamuahidi kumpa helkopta ya kampeni alitakiwa awaulize CC ya CCM nani alimshauri Gwajima kugombea sababu inaonekana kuna watu waliomwambia Gwajima akagombee.

Anasema amekuwa akimtazama Magu kama mjomba/mtani lakini haoni kuwa huo ujomba ndio ulipelekea yeye kukubalika maana wote tunajua kipindi cha Magu mtu mwenye association na Magu alipendwa vila sababu ya msingi reference Sabaya na Makonda.

Mwambie kama anaona anakubalika achukue fomu 2025 ndio utajua hajui

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Dogo naona baada ya watu kukudiss Sana. Umeachana na utaratibu wa kuandika namba za simu KWENYE Uzi.

Sahivi unajitengenezea uzi Kisha unajiongelea mwenyewe kwa I'd nyingine tofauti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dogo ni wewe. Wakati tunaianzisha JF wewe ulikuwa unanyonya ......!!
 
Dogo ana wivu, hasira na majuto yanayompelekea amchukie Gwajima bila sababu anatakiwa kujiuliza Gwajima alimaliza namba 4 ilikuwaje waache hao wengine apitishwe namba 4.

Gwajima alishindwa kura za maoni ila akarudishwa na CC ya Chama hivyo alitakiwa kuolaumu CC ya chama sio Gwajima.

Anasema yeye alienda kumuomba Gwajima msaada na Gwajima akamuahidi kumpa helkopta ya kampeni alitakiwa awaulize CC ya CCM nani alimshauri Gwajima kugombea sababu inaonekana kuna watu waliomwambia Gwajima akagombee.

Anasema amekuwa akimtazama Magu kama mjomba/mtani lakini haoni kuwa huo ujomba ndio ulipelekea yeye kukubalika maana wote tunajua kipindi cha Magu mtu mwenye association na Magu alipendwa vila sababu ya msingi reference Sabaya na Makonda.

Mwambie kama anaona anakubalika achukue fomu 2025 ndio utajua hajui

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hata mimi naona Dogo ameonyesha jazba sana. Anaongea some of the things as if alikuwa ni personal Secretary wa Mkulu ... wakati hata alikuwa haishi Ikulu....!!
 
Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham.

Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana, amedanganya kufufua watu. Amedanganya kuleta train za umeme n.k. n.k.

Ila kwa jinsi tunavyomjua Gwajima, huyu dogo ajiandae kwa majibu yake Jumapili.
Kukosa ubunge mchezo!
Na bado!
Ukizingatia wa kukubeba hayupo
 
Back
Top Bottom