Imekuwaje mpk akapata kura zote hzo ndan ya chama?? Imekuwaje akaaminiwa na wanachama hao?
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Hongera kwake. Yupo Smart na ndo maana akawekwa Kawe .
Chato moja hiyo UncleeeeeFollowing,kijana kaangusha mibuyu. Nini siri ya ushindi wake ?
Watu tumebaki midomo wazi nani huyu dogo aangushe vigogo vilivyokuwa vinapewa nafasi kubwa ya kushinda. Sasa siri yote nje kumbe ni mzito fulani hivi kupitia bega la mjomba [emoji12][emoji12]
Kama unafuatilia mambo, juzi mkuu kaongelea kuhusu ndugu kufanya kazi serikalini, kasema sio issue kwa sababu alikua anajua ndugu zake wengi watapenya mwaka huu .
Kumbuka Dodoma yanatakiwa yende majina matatu. Na mwebyekiti mlimsikia vizuriMdee anashinda tena.
Naona Gwajboy aka Mkono wa baunsa, kapata kura 79 kajitahidi kawa wa tatu.
Huyu ndiye Mjomba wa Magufuli aliyeshinda Kura za Maoni Kawe. Yupo GCLA(maabara ya Taifa) yeye ndo incharge, pale hamna mtu wa kumpinga akisema hold mzee ni hold hamna wa kukupa release hata uende wapi, anaishi masaki kwa sasa. Hata cheo alichonacho ni figisu-figisu.
#Wasifu:
Jina: Furaha Dominic Jacob
Kazaliwa: Chato Kagera
Shule: Chato Secondary School
Shule: Makongo High school
Chuo : DIT
Reseach: Technician at International Institute of Tropical Agriculture (IITA)
Na Kwa sasa anaishi Dar es salaam
Mtoto wa dada yake Rais MAGUFULI.View attachment 1512953
Ishaisha hiyo.Kumbuka Dodoma yanatakiwa yende majina matatu. Na mwebyekiti mlimsikia vizuri
Kama ni mtoto wa dada kweli ni furaha kwa mjomba kama lilivyo jina lake. Dada ametoa mpwa smart kwelikweli
Ukizingatia ndio 'ngwe' ya mwisho ya meko, lazima awajaze vitengoni!Tusishangae hao “ndugu zake” wakipata TEUZI.
Usimdharau usie mjuaMmehangaika weeeeeee mmeishia kuokota Korona, Halima is a hard nut to crack😀
Ukizingatia ndio 'ngwe' ya mwisho ya meko, lazima awajaze vitengoni!