Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Kama unafuatilia mambo, juzi mkuu kaongelea kuhusu ndugu kufanya kazi serikalini, kasema sio issue kwa sababu alikua anajua ndugu zake wengi watapenya mwaka huu .
Watu tumebaki midomo wazi nani huyu dogo aangushe vigogo vilivyokuwa vinapewa nafasi kubwa ya kushinda. Sasa siri yote nje kumbe ni mzito fulani hivi kupitia bega la mjomba [emoji12][emoji12]
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Wacha vijana wa kitengo wachape kazi, chama ni chetu Tunajua tuendako!
 
Tusishangae hao “ndugu zake” wakipata TEUZI.

Kama unafuatilia mambo, juzi mkuu kaongelea kuhusu ndugu kufanya kazi serikalini, kasema sio issue kwa sababu alikua anajua ndugu zake wengi watapenya mwaka huu .
 
Ni mtoto wa dada yangu tumbo moja. Tunakaba kila pande. Kwa nepotism huniwezi. Daahhh. Ni nani mjumbe anathubutu kuchinja? Hata hizo 85 na 79 ni kosa kubwa sana. Ninaweza kuwatafuta kwa forensic nijue tu nani ni nani Kawe!!!
 
Huyu ndio aliye pima mapapai kwamba yana corona.. new bashite in town..[emoji1][emoji1]
Huyu ndiye Mjomba wa Magufuli aliyeshinda Kura za Maoni Kawe. Yupo GCLA(maabara ya Taifa) yeye ndo incharge, pale hamna mtu wa kumpinga akisema hold mzee ni hold hamna wa kukupa release hata uende wapi, anaishi masaki kwa sasa. Hata cheo alichonacho ni figisu-figisu.

#Wasifu:
Jina: Furaha Dominic Jacob
Kazaliwa: Chato Kagera
Shule: Chato Secondary School
Shule: Makongo High school
Chuo : DIT
Reseach: Technician at International Institute of Tropical Agriculture (IITA)

Na Kwa sasa anaishi Dar es salaam
Mtoto wa dada yake Rais MAGUFULI.View attachment 1512953
 
Gwajima alishafel muda sana tangu alipomdhalilisha kiongozi mmoja wa kidini na dini nyingine aliwadharau waumini wake, biashara iliishia hapa.
 
Kama alifanya MAOVU awamu ya kwanza hadi kuwa na hofu ya kutaka sheria ya kumlinda kwenye MAOVU yake basi awamu ya pili itakuwa ni BALAA maana sheria ya kumlinda tayari anayo hivyo MAOVU mwanzo mwisho Mkuu.

Ukizingatia ndio 'ngwe' ya mwisho ya meko, lazima awajaze vitengoni!
 
Back
Top Bottom