Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?


CV YA FURAHA
dogo ni Mlokole., Yesu ni Bwana na mwokozi wa maisha yake.
Dogo yupo kwenye mahusiasno na mwanamke wa Kichgga, yupo CRDB.
Dogo mchapa kazi.
 
Njaa ndo nani?
 
Dogo anaonekana yupo vizuri kichwani. Ila naona alikuwa field zaidi. Kijiji baada ya kijiji.
Sijajua sana, maana na mie sikujua hata kama ametangaza nia hakuwa na makuu. Dogo mmoja yupo humble sanaa.. kila nikikutana nae hata kama sina time nae ataniita hata kwa mbalii au atanikimbili kikubwa tupeane hata salamu. Huyu nita msaport aisee ingawa mie sio kijani.. ila kwa namna alivyo nita mpa suport yangu. Ni mtu sahihi kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…