Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

CCM tuna watu kibao kuna frontliners na back benchers hidden in dark places.Usishangae mtu kuibuka paap huyu hapa!! Kama kwenda mbinguni hivi unaenda kukutana na usiowajua!!!
Ni kweli kabisa, wengine mnawatoa toka tiss, mkizuia wengine wasihonge, ili Yule mlengwa wenu apite, maana huko bila kuhonga hapati kura yoyote.
 
Sio mpinzani sahihi kwa mdee. Kamati kuu waangalie mtu anayekubalika kwa raia na sio pale ofisini kwao kawe vinginevyo wanampa mdee jimbo mapema tuu..
 
‘Furaha Dominic Jacob’ hana sifa za kuwashinda wagombea wengi sana kwenye jopo la Kawe. Ukirudia kuangalia video Kippi Warioba kaitwa zaidi ya mara 3 (KURA alizopata) baadhi ya wajumbe wanashutumu Kippi kumpa KURA zake Furaha

Basi dogo kumbe ni mgombea maalum. Nimejiuliza sana hiyo influence kaipata wapi ?Basi sina swali tena. Na huyu ndo mgombea rasmi wa CCM kupitia kawe. Hapa mkakati ulisukwa aisee.
 
Bora kakosa. Gwajboy angepata angeligawa kanisa la Bwana. We unadhani kwa siasa zetu za bongo jinsi wabunge wanavyowananga wenye itikadi tofauti nao, unadhani ni mwanachamaa gani wa upinzani angebaki muumini wake!!?? Angebaki na waccm wenzake tu!!!
Ila gwajima ndiye angewapa ushindi sisiemu kwa kawe. Jpm asingekuwa na kazi ya kufanya kampeni kawe sababu anayekuwa mgombea kama ana haiba kubwa kwa wananchi kazi inakuwa rahisi zaidi. Huyu jamaa yawezekana anajulikana na watu wa sisiemu wa kawe ila wananchi wa kawe hawamjui.
 
Yani Mzee Mwinyi mliuliza yeye ni nani? Mwinyi ambae alishakuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na akaja kuwa Rais wa Zanzibar??

Ebu toa ujinga na fix zako hapa...
 
Utaratibu wa CCM ni sawa na wa NEC, ushindi wa kura haukuhakikishii kuteuliwa, unaweza kuachwa akachukliwa mshindi wa tatu au wa nne.
 
Sio bure inawezekana makonda alikutoa bikra kisha akakutelekeza
 
Daaah! Aione Pasco wa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…