Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Nimeangalia alichokisema kwenye kuomba kura, hakuna alichovutia!!
Kama hii ndio style yake na tayari kuna minongono ya chini chini kuhusu ni mwana familia. He is a liability! Halima Mdee will eat him alive!!
CC should dump him!
 
Mungu anampenda sana Halima Mdee, maana kupitia kwake furaha halisi ya wana Kawe itarudi!
😅
👊 ✌️✌️✌️💥
 
Halima atakua amewahonga ccm hadi wamemletea mtu ambaye wenyewe hawezi kumpa kura
Nimeangalia alichokisema kwenye kuomba kura, hakuna alichovutia!!
Kama hii ndio style yake na tayari kuna minongono ya chini chini kuhusu ni mwana familia. He is a liability! Halima Mdee will eat him alive!!
CC should dump him!
 
The clue is in the pudding
View attachment 1513600

yaani CV nyingine zitajaleta matatizo km kwa Kolomije
  • Hapo kwenye Elimu kizungumkuti
  • Chato haipo Bukoba ingawa kuna Wahaya, ukweli Chato ipo Geita na sio Kagera
hiyo CV hakuandika yeye
[/QUOTE]
Chato zamani ilikuwa Kagera kabla mkoa wa Geita haujaanzishwa.
 
The clue is in the pudding
View attachment 1513600

yaani CV nyingine zitajaleta matatizo km kwa Kolomije
  • Hapo kwenye Elimu kizungumkuti
  • Chato haipo Bukoba ingawa kuna Wahaya, ukweli Chato ipo Geita na sio Kagera
hiyo CV hakuandika yeye
[/QUOTE]
Studied at DIT Ina maana hakugraduate? Alidisco? Au Alisoma evening class? Halafu mbona amekaa Kama wasiojulikana?
 
Yaani nchi hii ukiwa ccm raha jamani

 
Unafikiri kwanini wajumbe wakawe wamempa kawe ? Mie hapa nazungumzia kumjua yeye binafsi na sio kumjua kupitia chama, na hata sikuwahi kujua kama ni mwanachama wa huko mwala sikujua hata kama katia nia, nimekutana na habari yakr tu humu.. mie na siasa mbali mbali mkuu
Ili ni jukwaa na Siasa lakini
 
The clue is in the pudding
View attachment 1513600

yaani CV nyingine zitajaleta matatizo km kwa Kolomije
  • Hapo kwenye Elimu kizungumkuti
  • Chato haipo Bukoba ingawa kuna Wahaya, ukweli Chato ipo Geita na sio Kagera
hiyo CV hakuandika yeye
[/QUOTE]
Chato zamani ilikuwa wilaya ya Bihalamuro,mkoa wa Kagera. Wewe ndo huna unalolijua.
 
Dogo ni kitengo yupo kitambo kwa influence ya uncle wake, na kawe kawekwa kwa mkakati maalumu!!

Hajaomba kura Wala hajaulizwa swalii itoshe kusema never underestimate the power of unknown
Kitengo gan
 
Ila gwajima ndiye angewapa ushindi sisiemu kwa kawe. Jpm asingekuwa na kazi ya kufanya kampeni kawe sababu anayekuwa mgombea kama ana haiba kubwa kwa wananchi kazi inakuwa rahisi zaidi. Huyu jamaa yawezekana anajulikana na watu wa sisiemu wa kawe ila wananchi wa kawe hawamjui.
Wanachama tutampigania
 
Ni Kijana Mmoja Mnyenyekevu, Mkarimu, Mwerevu, siyo Mjivuni kama Mtu Mmoja aliyekimbilia Kutuomba Msamaha, ana Elimu yake nzuri tu, anakubalika na wana Kawe na wala hahitaji kwenda Kuosha Nyota yake Kijijini ' Usukumani ' Kishirikina ( Kiutamaduni ) kama wengine, siyo Maarufu Mitandaoni kama walivyo Waomba Misamaha ya ' hovyo hovyo ' Kwetu, hana Unafiki, Sanifu na Dharau kama Waliotuomba Misamaha na mwisho ni Mtu wa Watu hasa.

Mtoto Mdogo ( Kijana ) ambaye hana hata ' Umaarufu ' ulionao anapata Kura 101 halafu Kongwe, Jivuni na Jitu lenye ' Kiherehere ' linaambulia Kura yake 1 tu.Hongera sana Kijana Furaha Dominic Jacob japo najua una Kazi ' pevu ' kwa Dada yangu Halima Mdee ila nakuamini utamshinda na kuwa Mbunge tu.

Kwa wale ambao hamjapata Matokeo ya Mwisho haya hapa tafadhali....

1. Mr. Furaha Dominic Jacob 101
2. Mrs. Angela Daisy Kizigha 85
3. Mr. Mathias Josephat Gwajima 79
4. Mr. Benjamin Samuel Sitta 61
5. Mr. Kipi Joseph Warioba 3
6. Mr. Njaa Naombeni Msamaha 1

Kila la Kheri!
Ulisikia alichokisema alipopewa nafasi ya kuongea mbele ya wajumbe?
Dogo katjmwa na uncle wake huyo ukitegemea nani ampinge uncle?
 
Back
Top Bottom