Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeangalia alichokisema kwenye kuomba kura, hakuna alichovutia!!
Kama hii ndio style yake na tayari kuna minongono ya chini chini kuhusu ni mwana familia. He is a liability! Halima Mdee will eat him alive!!
CC should dump him!
Ila kijana inaonyesha anajiamini sana na ni mwenye sauti yenye mamlaka, hivi ni vitu muhimu sana kwa kiongozi. Kila la heri ktk kinyang'anyiro cha ubunge jimbo la Kawe.Aisee! Kapata kura bila kuomba kura
[/QUOTE]The clue is in the pudding
View attachment 1513600
yaani CV nyingine zitajaleta matatizo km kwa Kolomije
hiyo CV hakuandika yeye
- Hapo kwenye Elimu kizungumkuti
- Chato haipo Bukoba ingawa kuna Wahaya, ukweli Chato ipo Geita na sio Kagera
[/QUOTE]The clue is in the pudding
View attachment 1513600
yaani CV nyingine zitajaleta matatizo km kwa Kolomije
hiyo CV hakuandika yeye
- Hapo kwenye Elimu kizungumkuti
- Chato haipo Bukoba ingawa kuna Wahaya, ukweli Chato ipo Geita na sio Kagera
Hata wapwa pia wamo....Yaani nchi hii ukiwa ccm raha jamaniView attachment 1513735
Ili ni jukwaa na Siasa lakiniUnafikiri kwanini wajumbe wakawe wamempa kawe ? Mie hapa nazungumzia kumjua yeye binafsi na sio kumjua kupitia chama, na hata sikuwahi kujua kama ni mwanachama wa huko mwala sikujua hata kama katia nia, nimekutana na habari yakr tu humu.. mie na siasa mbali mbali mkuu
Jitayarishe kunywa huo mzinga, chochote kinawekana .Kwa haya ya Kawe, jina la Ndungulile likirudi nakunywa mzinga wa sumu ya panya.
Mpaka muda huu nasikia story kadhaa zisizo na uthibitisho.Unamfahamu japo kwa uchache huyu kijana??
Unanipoteza mda tu, inaonekana walimu wako shule walikuwa na kazi ya ziadaIli ni jukwaa na Siasa lakini
[/QUOTE]The clue is in the pudding
View attachment 1513600
yaani CV nyingine zitajaleta matatizo km kwa Kolomije
hiyo CV hakuandika yeye
- Hapo kwenye Elimu kizungumkuti
- Chato haipo Bukoba ingawa kuna Wahaya, ukweli Chato ipo Geita na sio Kagera
Kitengo ganDogo ni kitengo yupo kitambo kwa influence ya uncle wake, na kawe kawekwa kwa mkakati maalumu!!
Hajaomba kura Wala hajaulizwa swalii itoshe kusema never underestimate the power of unknown
Wanachama tutampiganiaIla gwajima ndiye angewapa ushindi sisiemu kwa kawe. Jpm asingekuwa na kazi ya kufanya kampeni kawe sababu anayekuwa mgombea kama ana haiba kubwa kwa wananchi kazi inakuwa rahisi zaidi. Huyu jamaa yawezekana anajulikana na watu wa sisiemu wa kawe ila wananchi wa kawe hawamjui.
Kuna wanaosema anamwita mwenyekiti mjomba!Ndan ya Chama alikuwa nan? Kwa kura hzo maana yake tayar ana nafasi ya umaarufu au jina ndan ya ccm-kawe
Msaada tutan
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Ndivyo nilivyosikia pia kuwa ni mtoto wa dada wa mkulungwanaNapata nyepesi ni ndg yake na jiwe,Nephew wake..hope its not true..
Juha Mimi unajua Mimi Ni Nan poor Gent
Ulisikia alichokisema alipopewa nafasi ya kuongea mbele ya wajumbe?Ni Kijana Mmoja Mnyenyekevu, Mkarimu, Mwerevu, siyo Mjivuni kama Mtu Mmoja aliyekimbilia Kutuomba Msamaha, ana Elimu yake nzuri tu, anakubalika na wana Kawe na wala hahitaji kwenda Kuosha Nyota yake Kijijini ' Usukumani ' Kishirikina ( Kiutamaduni ) kama wengine, siyo Maarufu Mitandaoni kama walivyo Waomba Misamaha ya ' hovyo hovyo ' Kwetu, hana Unafiki, Sanifu na Dharau kama Waliotuomba Misamaha na mwisho ni Mtu wa Watu hasa.
Mtoto Mdogo ( Kijana ) ambaye hana hata ' Umaarufu ' ulionao anapata Kura 101 halafu Kongwe, Jivuni na Jitu lenye ' Kiherehere ' linaambulia Kura yake 1 tu.Hongera sana Kijana Furaha Dominic Jacob japo najua una Kazi ' pevu ' kwa Dada yangu Halima Mdee ila nakuamini utamshinda na kuwa Mbunge tu.
Kwa wale ambao hamjapata Matokeo ya Mwisho haya hapa tafadhali....
1. Mr. Furaha Dominic Jacob 101
2. Mrs. Angela Daisy Kizigha 85
3. Mr. Mathias Josephat Gwajima 79
4. Mr. Benjamin Samuel Sitta 61
5. Mr. Kipi Joseph Warioba 3
6. Mr. Njaa Naombeni Msamaha 1
Kila la Kheri!