Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Je Furaha Dominic Jacob Mtia nia wa CCM Jimbo la Kawe ni nani?

Jee amefanikiwa kivipi kupata ushindi Kawe ?

Jee anao umaarufu gani ulio muuza kwa wapiga kura?

Jee ametumia mbinu gani ambazo wanasiasa wa siku nyingi kama Angela Kiziga, Ben Sitta, Gwajima wameshindwa kuweza kuzitumiwa?

Jee Kuna msaada gani ulio muwesha kufanikiw, kama upo ?

Jee Uombaji kura haukuweza kumshawishi mpiga kura ampigie sababu muda ulikuwa hautoshi?

Jee ana muonekano gani kiasi unamvutia mpiga kura bila yeye kuomba kura?

Jee mtazamo wa sisi waombwa kura umebadilika kiasi ujana ndio karata yenyewe ?

Na mashwali mengine kama yapo ambayo yatatusaidia wananchi kupata uelewa jinsi gani tunaweza tukaangusha Mibuyu. I rest my submission.
Hivi kweli Gwajima na B. Sitta ni wanasiasa wa siku nyingi!!?? Mama A. Kizigha yeye basi atakuwa "mhenga" wa siasa kama wakina Wassira na Warioba.
 
Habari,

Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa?

Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndani ya CCM katika Jimbo la Kawe?

Je, ni mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?

Kijana wa Pombe huyoo
 
Hivi kweli Gwajima na B. Sitta ni wanasiasa wa siku nyingi!!?? Mama A. Kizigha yeye basi atakuwa "mhenga" wa siasa kama wakina Wassira na Warioba.
Siasa huwa ni agenda ya wakati na mgombea ana washawishi vip wapiga kura ili aweze kuwatumikia/kutatua changamoto zao.

JPM hakuwa na uzoefu kama akina Sitta na EL, yet alionesha kama mtu wa wakati 2015;

JK hakuwa na uzoefu kama Salim A. Salim au Malecela; yet 2005 akaibuka kidedea.
Obama hakuwa na uzoefu wa muda mrefu ukilinganisha na Joe Biden na Hillary Clinton kwenye chama cha Democrats; yet akawa na agenda ya wakati na he made it to the Whitehouse.
 
Mayala ageuka kula na njaa kali! Mr Njaa aka Pascal Mayala popote ulipo,njoo walau utie neno basi! Maana huko ulipo ushachezea za uso na wasukuma wenzako 1. Pascal Mayala
2. Mr Josephat Gwajima
3. Mr Francis Nanak
4. Benjamini Six

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Siasa huwa ni agenda ya wakati na mgombea ana washawishi vip wapiga kura ili aweze kuwatumikia/kutatua changamoto zao.

JPM hakuwa na uzoefu kama akina Sitta na EL, yet alionesha kama mtu wa wakati 2015;

JK hakuwa na uzoefu kama Salim A. Salim au Malecela; yet 2005 akaibuka kidedea.
Obama hakuwa na uzoefu wa muda mrefu ukilinganisha na Joe Biden na Hillary Clinton kwenye chama cha Democrats; yet akawa na agenda ya wakati na he made it to the Whitehouse.

Mkuu kuna agenda yeyote ulioisikia wakati wakiomba kura?

Ben Sitta ujue ni Kijana sana hata suala la umea wa Kinindoni tulijua ni mbeleko japo ana elimu kiwango kizuri cha elimu. Kuna wengi watia nia ni vijana sana pia wakiwa na uzofu na elimu nzuri tuu.

Na hata Askofu Gwajima sio mweupe kichwani yupo vizuri sana. Hapa tunataka kuelewa mbinu ili kuhalalisha matokeo.

Watia nia wote karibu wana vigezo na hao wawili Sitta, Kizigha wamekuwa katika siasa za Chama kawe kwa muda ni mobilizers per ecellency, hali hii ndio inatufanya tujifundishe ni mbinu mpya gani mjini ya kumobilize kura. hii itaondoa wasi wasi wa mgombea ni nani.

In Obamas case, the USA Deep State wanted to dispell certain mirth and clean the politics as the American people were already showing sign of political fatique. It was a combination of many factors.
 
Kisiasa nadhani wangechukua siku kadhaa kusikiza vision na manifesto ya kila mgombea kuhusu agenda yake kwa jimbo kwa muktadha huu Kawe.

Bahati mbaya, hapakuwa na common benchmark wanataka mtu wa aina gani. Maana hatujui mpaka sasa kwanini Dominic Furaha kapata kura nyingi kumzidi Mayor Sitta, Benjamin ambae ana track record ya kutumikia manispaa ya K'ndoni kwa miaka 5.

Kama ni utendaji wa kusimamia maendeleo, Sitta au Mwenda ambae nae alikuwa Mayor 2010-15.

Na hatujui kwanini Kipi aliekuwa nominated 2015; mara hii kura zake zimeshuka kiasi cha ajabu.

Kwa kuwa kila anaekusanya kura anaonekana "mshindi", je kama akienda Bungeni atakuwa na misuli ya kuibana serikali kwa hoja ili kudai miradi ya maendeleo ya kijamii au kiuchumi.
Anyway, kama kina babu Tale wameshinda, ni suala la kuiuliza, alijenga hoja ipi ambayo ilimfanya aeleweke kuliko Omar Mgumba (mbunge aliekuwepo na N/Waziri Kilimo)
 
Katika jimbo la Mlimba kulikuwa 39, Godwin Kunambi ameongoza kwa kupata kura 193, na alifungana na Rose Rwakatare aliyepata kura 193.
Pia katika uchaguzi huo Acrey Mhenga alipata kura 124 na Jane Mihanji amepata kura 14.
KUMBE! basi ile hoja ya kujiuzulu Ukurugenzi wa Jiji la Dodoma auweke kando, km mwenzake Katambi
 
Imekuaje kakatwa?? Nyie jamaa ni wajinga sana
Niko kwenye site. Nakuhakikishia hakuna namna huyu jamaa angepata hizo kura kwa nguvu zake. Ni maagizo kutoka juu na yamesimamiwa kilivyo. Una habari Makonda alitaka kugombea kupitia hili jimbo lakini akakwama kutokana na nguvu isiyoonekana ya huyu jamaa? Usione vyaelea ndugu vimeundwa. Hizi ni info za ndani nakupa na siyo speculations
 
Kweli no uncle kabisa, ndo nimemtazama vizuri
 
Back
Top Bottom